Showing posts with label News. Show all posts
Showing posts with label News. Show all posts

Sunday, September 21, 2014

PHOTO : Picha Ya BEYONCE yazua Balaa mitandaoni

Mkali wa R&B pop ,Beyonce Knowles a.k.a Queen B, anashutumiwa na mashabiki wake kwenye mitandao kwa ku-photoshop picha yake ambayo alikuwa amepost katika page yake ya Tumblr akiwa amevaa Bikini....

Imeelezwa kwenye mtandao wa dairlymail kuwa inasemekana kwamba Beyonce amephotoshoop hiyo picha sehemu ya katikati ya Mapaja yake .


Picha hii ilipigwa wakati Beyonce akiwa kwenye shereke yake ya kutimiza miaka 33 kwenye Boti binafsi...na kuipost kwenye mtandao wake wa Tumblr...
Hizi ni Picha zenngine...


Tuesday, September 16, 2014

HOOT NEWS : P.DIDDY ANDONDOSHA $40 M Kwenye Mjengo Mpya...

Mkali wa Miondoko ya Hip Hop Sean Combs A.K.A P.DIDDY amedondosha Dola za Kimarekani Milioni 40 kwenye Hekalu moja kubwa huko Mjini LOs Angels Ambapo Mtandao wa TMZ umeeleza kuwa ndipo karibu na mahali alipofia Mfalme wa pop Michael Jackson...



Hekalu Hiyo ina Ukubwa wa futi 17,000 square pamoja na futi 3,000 square ambazo ni za moja wa mjengo wa kulala wageni...katika mjengo huu pia kuna massage room, beauty salon na Spa House  





Source; TMZ ,Latimes



News : Mkali wa R&B ,AUGUST ALSINA AZIMIA Kwenye Stage...

Tukio Hili limetokea tu Ghafla wakati mkali huyu anaetokea pande za Obama kudondoka katika Jukwaa ndani ya Irving Plaza huko New York tarehe 15-sept(majuzi) ...


Mtandao Mkubwa wa habari Nchini Huko ,TMZ imeeleza kuwa Shuhuda waliokuwa kwenye show hiyo, walisema kuwa August alionekana amedondoka ghafla njee ya steji na kuwadondokea mashabiki ,na ghafla walinzi wa show hiyo kumkimbilia na kumtoa ....TAZAMA VIDEO HAPA...

For MORE about AUGUST CLICK HERE-->> August Alsina

Wednesday, May 21, 2014

HOOT NEWZZ : DIAMOND AILEZEA KUHUSU BET AWARDS

diamond aieleza kitu kuhusu kuwa nominated kwenye BET awards...tazama video hii hapa chinii!!

Saturday, April 12, 2014

HOOT NEWS : JUSTIN BIEBER GOT NEW BUGATTI FROM BIRDMAN

Kama ilikuwa kawaida kumtunza mtu zawadi au kumsaidia binaadamu mwenzako sababu sisi woote tumeumbwa na mwenyezi mungu na unapomuona binaadamu mwenzako anapata tabu basi msaidie...hii aliithibitisha mnyama,CocaBouy, D2theP DIAMOND PLATNUMZ baada ya kumnunulia mkongwe wa muziki mzee Gurumo mkoko...
Sasa hii nyngine ni BALAAAA...!!!  kutoka kikundi cha wanahiphop kama Lilwayne, Mackmane, Jay sean n.k, CMB ambacho kinachomilikiwa na Bryan Williams A.K.A BIRDMAN , inaelezwa kuwa BIRDMAN amemnunulia Gari Msanii wa R&B JUSTIN BIEBER ambalo linagharimu kama $2Million .

Justin Bieber alipost kwenye ukurasa wake wa Istagram akisema "Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity" ...

sasa unaweza ukasema kuwa JB anakubalika kweli sababu hii ni ndinga ya pili katika COLLECTION zake za MAGARI ambalo alilozawadiwa  ,nyengine ni ile aliyopewa na msanii wa hiphop SEAN COMBS A.K.A P.DIDDY baada ya kutimiza miaka 16 (Bonyeza hapa uone huo mkoko)....

-source : time.com

Thursday, March 27, 2014

HOOT NEWS| WIVU : KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN ,BLOWOUT FIGHT OVER CHRIS BROWN

   Kanye west sasa aona wivu wa maoenzi kwa mchumba wake Kim sababu ya kuwa na mahusiano na Chris brown ambaye sasa yuko jela kwa mda wa mwezi mmoja .

Mtandao wa habari za wasanii wa marekani HollywoodLife umeeleza kuwa Kanye akatamka kuwa anaweza kuhairisha ndoa yao...
Imeelezwa tena kanye amemkataza kuwa na mawasiliano na Chris baada ya kuona Chris na kim wakiangalia kimahaba walivyokuwa wakiongea kuhusu biashara .

Mtandao tena umeeleza kuwa Kanye hampendi Chris kwa sababu zifuatazo :
- kitendo cha chris-2009 kumpiga Rihanna .
-Chris ni mtu ambaye anaharibu sheria .
kwahiyo kanye anaamini kuwa wadhfa wake ni kila kitu kwake kwahiyo hataki Brown amuharibie

HOOOT NEWS : DIAMOND PLATINUMZ IN KORA AWARDS - 2014 | VOOTE!


    They say that "HARD WORK PAYS" ...
    
      MNYAMA COCA-BOY kutamba kimuziki zaidi ...sasa Nassib Abdul kukaa kwenye TUZO za KORA akiwa pamoja na mastaa wakubwa  Afrika kama Werason ,Koffi Olomide, P-square, Fally Ipupa..na wengine Kibao Katika Kinyang'anyiro hicho.
      Diamond sasa yuko katika List ya wiki ya 13,kwahiyo kuwa mzalendo mpigie kura diamond platinumz iliaweze kushinda katika Tuzo hizo za KORA-2014 pia aitangaze inchi yetu ,Tanzania!
 Unachotakiwa kufanya ni kuingia Page ya Kora awards ya Facebook-->KORA AWARDS  na kukomment jina la Diamond platinumz kwenye kila post ambayo ameshiriki diamond.
KUWA MZALENDO VOTE FOR DIAMOND PLATNUMZ
source: wasafii blog

Saturday, March 22, 2014

HOOOT NEWS : PAUL WA P- SQURE KUFUNGA PINGU ZA MAISHA NA ANITA ISAMA

   Ni moja kati ya siku ya Furaha saana kwa wapenzi pale ambapo wanapoamua  kudhihirisha kuwa wanapendana na wameamua kufunga pingu za maisha...

    Sasa mmoja kati ya kundi la mapacha wawili ,P-SQUARE, ambaye ni Paul Okoye ameamua kudhihirisha hivoo na kufunga ndoa na kimwana chake  Anita Isama siku ya Jana Jumamosi ya tarehe 22/03 huko Nigeria .
         Ndoa kama ilivyokuwa kwa kawaida ya sisi waafrika ...kijana ameamua afunge ndoa ya kimila(Traditional Marriage) katika Kumbi ya Aztec Arcum...

Tazama Picha hapa chini ili ufahamu zaidi yaliojiri siku hii ya furaha kwa Paul Okoye...
Kadi ya harusi
Bwana na bibi Okoye
(Endelea hapa chini kutazama PICHA...)
     Hili ndio Jukwa ambalo lilipambwa na The wedding Guru ambao walipamba ukumbi kwenye harusi ya Peter wa p-square ..

Hii ndio Moja ya Table kwa wageni waalikwa


Duuuuhh...!!


Groom’s twin Peter of P-Square, his son Cameron & Groomsmen
The groom Paul Okoye & Olamiju Alao-Akala

Friday, February 28, 2014

HOOOT NEWS : RIHANNA AMDANDIA DRAKE KWENYE STAGE...HATAREEE!!

    Hivi karibuni walionekana wakiwa pamoja kwenye moja ya Club huko L.A sasa hivi karibun Drake aliianza mishemishe zake za music na tour yake ya "WOULD YOU LIKE TOUR" huko paris...
Jarida la music MZHIPHOP limeeleza kuwa Drake anapenda kuwaalika Mafans wake akiwa kwenye stage na siku hiyo kilichoshangaza watu ni baada ya kuitwa Rihanna na kuvamia stage hiyo, Palais Omnisports de paris bercy.

Rihanna aliimba nyimbo ya "Pour iT up"..baada ya kupafon "Take care" na Drake Live..ikiwa kama mara ya Kwanza.



Tazama VIDEO za yaliojiri Siku Hiyo...



WEEEEEE...RIRIIII..!! NI SHIDAAAAA..!!

(Endelea Kushangaa HAPA CHINII..NI BALAAA...!!)
 




Source : MZHIPHOP.COM





Tuesday, February 25, 2014

HOOT NEWS : CHRIS BROWN REVIEWs HIS X - ALBUM RELEASE


Chris Brown's X has been a long time coming. We heard the first single "Fine China" last year, but legal issues have delayed the release of the album. Brown is currently serving 3 months in rehab for anger management, but it looks like he's begun to start thinking about getting his album together, as he's announced the release date today.

Taking to twitter, Chris announced that the project will be coming May 5th, as well as calling it his "best album yet". He included a photo which looks like it could possibly be a piece of the album cover, but we'll have to wait and see.
May 5th happens to be the same release date as Lil Wayne's "Carter V". Who's gonna sell more

View Chris' tweet below.
"X" is by far my best album yet.... Setting the date for MAY 5 pic.twitter.com/cFrfpgsBcD
— Chris Brown (@chrisbrown) פברואר 22, 2014


TOP 10 OF THE CELEBS WITH THE MOST FACEBOOK FANS

   
       Tunajua kwamba watu wengi wanapenda hizi social network hii 'Friend user' ambayo ni facebook ,sasa kati ya hao watu, MACELEB wetu ambao wana FANPAGE zao wazotumia kutu-update sisi ma-Fan wao kinachoendelea katika sanaa zao na maisha yao kwa ujumla ...nakala hii inakufahimisha kuhusu maceleb wenye maFANS wengi katika Fanpage zao za facebook....
Kama utaipenda HABARI hii bhasii kuwa fan wangu ..& plzz LIKE FANPAGE yangu kwa kubofya hapa-->> Obbytune  

FAHAMU TOP 10 YA MACELEB WENYE MAFANS WENGI WA FACEBOOK .


Linkin Park

10. Linkin Park  
60,001,649 likes · 225,704 talking about this



Lady Gaga

9. Lady Gaga
63,173,044 likes · 500,114 talking about this


Justin Bieber

8. Justin Bieber
63,310,047 likes · 1,327,058 talking about this


Katy Perry

7. Katy Perry
64,258,553 likes · 1,021,247 talking about this · 34,812 were here
(Endelea hapa chini kutazama LIST)

Vin Diesel

6. Vin Diesel
66,713,632 likes · 2,933,812 talking about this



Michael Jackson

5. Michael Jackson
70,442,810 likes · 643,229 talking about this


Cristiano Ronaldo

4.Cristiano Ronaldo
74,029,763 likes · 1,094,691 talking about this


Eminem

3. Eminem
82,373,055 likes · 1,193,239 talking about this


Shakira

2. Shakira
83,073,278 likes · 1,651,697 talking about this


Rihanna

1. Rihanna
85,436,103 likes · 387,786 talking about this

NOTE : Hii LIST hapo juu si ya kutunga bali imetoka kwenye vyanzo vya FACEBOOK

Tuesday, February 11, 2014

HOOT NEWS : DRAKE & RIHANNA GOT BACK TOGETHER

Drake na Rihanna wamerudia pamoja wikiend hii na kuonekana wakiparteey pamoja katika Night club moja huko L.A Ijumaa.
Vyanzo vya habari vimeiambia TMZ kwamba Drake na Rihanna waliingia mida tofauti lakini wapekuzi wa ndani ya club wamesema baada ya mda kidogo Rihanna akaonekana akijisogeza katika private-table ya Drake na kuwa pamoja mda woote mpaka huku wakionesha kuwa na furaha pamoja...
Asubuhi yake ilipowadia drake alionekana akitoka mda mchache tu badala ya Rihanna ...

Tazama video hapa Chini ili upate kuona Yaliojiri...


Drake & Rihanna -- Back Together ... In L.A. Nightclub

Thursday, February 6, 2014

HOOTT NEWSS : JUSTIN BIEBER ANASWA AKINYONYA CHUCHU ZA STRIPPER

   Huyu hapa ndiye kimwana stripper ambaye matiti ambayo ya bandia 'fake' yaliyogeuzwa kidude cha kunyonywa 'Chew Toy'...
Sources waliokuwa walio na ukaribu na huyu dancer ,wameiambia TMZ kwamba ,msichana huyo mwenye miaka 26 ameanza kufanya kazi ya u-stripper huko Las Vegas baada ya kuhamia kutoka Chicago ,sasa mnyama Bieber alivyoenda kutembelea mji huo mwezi wa kwanza kimyakimya alimnasa kimwana huyo mwenye tattoo ya kisungura kiunoni, na akamchukua na kurudi hotelini kwake alipofikia.

Sources zimeiambia TMZ kwamba Bieber na kundi lake walimchukua Carolina na madancer wenzake wawili kwa kufanya Private dances huko hotelini kwake na akawalipa kila mmoja dola elfu...
 Wasichana hao ,pindi tu walivyoingia chumba cha JB waka kubaliana kwamba chochote kitakachotokea usiku ule kwao hakuna kumwambia mtu yeyote.

HAYAAAA SASAAAA TWENDEEE BEYBERRRR!!!...

Sources wameiambia TMZ kwamba picha hiyo hapo juu ilipigwa ndani ya L.A recording Studio lakini ukweli ni ilipigwa kwenye sehemu aliyofikia Beiber.
Watoa habari hawakutaka kusema kilichoendelea zaidi kati ya JB na hao wasichana siku ile lakini Carolina alikubali kupozi kwa kupigwa picha hiyo hapo

TAZAMA PICHA KALIII ZA HUYO MTOTO HAPO JUU...!!







NEWS : HUYU NDIO TOTO YA JUSTIN BIEBER KWA SASA

   Kwa jina kamili toto hii inaitwa Chantel Jeffries mwenye miaka 21, mzawa wa North Calorina ,kazi yake ni U-model . 
Katika siku za karibuni kumetokea fununu zaidi kuhusu Justin Bieber anakimwana kipya baada ya Kupost picha ya Toto hii asubuhi ya Alhamis moja na kuleta gumzo kwa Followers wa JB ,na baada ya saa picha ikaondolewa ,baada ya tukio hilo kumekuwa na habari tofauti kuhusu wawili hawa kwamba ,hii toto ndio kimwana kipya cha Star wa POP na R&B music Justin bieber.
Chantel na Jb wamezidi kuonekana sehem tofauti wakila bhata tena pale baada  ya KWENDA VACCAY PANAMA.

    Sasa Ndugu mpenzi wa blog hii unaweza we mwenyewe Kudhihirisha kwamba ,Je Jb anapiga Hii toto au La hasha!..kama Wanavyosema wao wenyewe kwamba ni Marafiki tu lakini ,we ndio wakujudge hii kitu si mii ,bali nakupa habarii tu! :)

TAZAMA PICHA ZA CHANTEL HAPA UPAGAWE....:))

Hii picha hapo juu ndio ambayo aliyopost Justin Bieber kwenye Ukurasa wake wa instagram.

Facial PiCX!!!..






BIKINIIIZZ...!!!








Otherz..!!







Source : Instagram
                www.google.com