Ni moja kati ya siku ya Furaha saana kwa wapenzi pale ambapo wanapoamua kudhihirisha kuwa wanapendana na wameamua kufunga pingu za maisha...
Sasa mmoja kati ya kundi la mapacha wawili ,
P-SQUARE, ambaye ni Paul Okoye ameamua kudhihirisha hivoo na kufunga ndoa na kimwana chake Anita Isama siku ya Jana Jumamosi ya tarehe 22/03 huko Nigeria .
Ndoa kama ilivyokuwa kwa kawaida ya sisi waafrika ...kijana ameamua afunge ndoa ya kimila(Traditional Marriage) katika Kumbi ya Aztec Arcum...
Tazama Picha hapa chini ili ufahamu zaidi yaliojiri siku hii ya furaha kwa Paul Okoye...
|
Kadi ya harusi |
|
Bwana na bibi Okoye |
(
Endelea hapa chini kutazama PICHA...)
Hili ndio Jukwa ambalo lilipambwa na
The wedding Guru ambao walipamba ukumbi kwenye harusi ya Peter wa p-square ..
|
Hii ndio Moja ya Table kwa wageni waalikwa |
|
Duuuuhh...!! |
|
Groom’s twin Peter of P-Square, his son Cameron & Groomsmen |
|
The groom Paul Okoye & Olamiju Alao-Akala |