Huyu kijana ni mmoja kati ya mastaa wakubwa katika tasnia ya muziki wetu wa kibongo(BONGO FLAVOR & AFRI-POP) pamoja na hayo ni mmoja kati ya wasanii ambae anamafans wengi saana endapo na kuwa na mafans wengi kwenye mitandao...
Kama ilivokuwa watu wakikukubali zaidi wengi wao wanakuwa na fever yako kama alivo Justin Bieber"Bieber Fever" kwa kuwa na upendo kwake zaidi ...
Sasa kwa mnyama huyu ambaye anamiliki toto wema abraham sepetu ,baadhi ya mafans wake wanacopy swagger za kijana huyu kwa kuweka pozi za picha pamoja staili za mavazi yao kama Diamond anavoweka kwenye baadhi ya photoshoot zake.
Tazama picha MAFANS wa DIAMOND WANAOMGEZA POZI ZAKE...
(KUJUA MENGI KUHUSU DIAMOND BOFYA HAPA--> DIAMOND)
CONTINUE HAPA CHINI KUNA NYENGINE KIBAOOO.....
(BOFYA HAPO ILI UONE PICHA ZA DIAMOND KABLA HAJATOKA--> TBT)
(FOR MORE ABOUT DIAMOND CLICK HEREE-->> DIAMOND PLATINUMZ)