Tuesday, March 4, 2014

HOOT NEW AUDIO : JUX - NITASUBIRI

Ni nyimbo mpya ambayo msanii Jux ameamua kuweka hisia zake kwa mpenzi wake Jack Cliff ambaye kwasasa ,Jack Cliff yupo china kwa kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya...
Katika wimboa huu msanii huyu wa BONGO FLAVOR amefafanua kwa kifupi historia yake ya mapenzi yake yeye na Jack. Sikiliza Wimbo huu hapa chini...