They say that "HARD WORK PAYS" ...
MNYAMA COCA-BOY kutamba kimuziki zaidi ...sasa Nassib Abdul kukaa kwenye TUZO za KORA akiwa pamoja na mastaa wakubwa Afrika kama Werason ,Koffi Olomide, P-square, Fally Ipupa..na wengine Kibao Katika Kinyang'anyiro hicho.
Diamond sasa yuko katika List ya wiki ya 13,kwahiyo kuwa mzalendo mpigie kura diamond platinumz iliaweze kushinda katika Tuzo hizo za KORA-2014 pia aitangaze inchi yetu ,Tanzania!
Unachotakiwa kufanya ni kuingia Page ya Kora awards ya Facebook-->KORA AWARDS na kukomment jina la Diamond platinumz kwenye kila post ambayo ameshiriki diamond.
KUWA MZALENDO VOTE FOR DIAMOND PLATNUMZ