Kijana huyu ametoka katika familia kitajili ya bwana Adedeji(Soma BIO ya davido hapa Bonyeza hapa)... ambaye anatamba na kibao kama AYE, GOBE na vengine kibao ...
Lakini si kwamba yeye kazaliwa kwenye familia ya Kifedha basi afanye kuachana na kazi ya usanii, ni moja katika njia anazopatia mkwanja na mkwanja huu ndio hivi anavoutumia...
Tazama list ya mikoko anayotambaa nayo Davido...hapa chini...
TAZAMA LIST YA MAGARI YA DAVIDO
12M NAIRE AUDI Q7
Mnyama akiwa amepozi kwenye mkoko wake wa million 12'naire |
Mercedes Benz G55 AMG
RED 2012 Hyundai Sonata
Davido alishinda mkoko katika tuzo za Next Rated Artist 2012
Mnyama akiwa kwenye mkoko baada ya kushinda |
Silver 2012 Honda
17 million Naira Chevrolet Camaro.