Kama ilikuwa kawaida kumtunza mtu zawadi au kumsaidia binaadamu mwenzako sababu sisi woote tumeumbwa na mwenyezi mungu na unapomuona binaadamu mwenzako anapata tabu basi msaidie...hii aliithibitisha mnyama,CocaBouy, D2theP DIAMOND PLATNUMZ baada ya kumnunulia mkongwe wa muziki mzee Gurumo mkoko...
Sasa hii nyngine ni BALAAAA...!!! kutoka kikundi cha wanahiphop kama Lilwayne, Mackmane, Jay sean n.k, CMB ambacho kinachomilikiwa na Bryan Williams A.K.A BIRDMAN , inaelezwa kuwa BIRDMAN amemnunulia Gari Msanii wa R&B JUSTIN BIEBER ambalo linagharimu kama $2Million .
Justin Bieber alipost kwenye ukurasa wake wa Istagram akisema "Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity" ...
sasa unaweza ukasema kuwa JB anakubalika kweli sababu hii ni ndinga ya pili katika COLLECTION zake za MAGARI ambalo alilozawadiwa ,nyengine ni ile aliyopewa na msanii wa hiphop SEAN COMBS A.K.A P.DIDDY baada ya kutimiza miaka 16 (Bonyeza hapa uone huo mkoko)....
-source : time.com
Showing posts with label Cars. Show all posts
Showing posts with label Cars. Show all posts
Saturday, April 12, 2014
Saturday, March 22, 2014
XXclusiv DAVIDO's CARS COLLECTION
Kijana ambaye ni mkali wa muziki wa AFRICAN POP ,akiitwa kama DAVIDO ...
Kijana huyu ametoka katika familia kitajili ya bwana Adedeji(Soma BIO ya davido hapa Bonyeza hapa)... ambaye anatamba na kibao kama AYE, GOBE na vengine kibao ...
Lakini si kwamba yeye kazaliwa kwenye familia ya Kifedha basi afanye kuachana na kazi ya usanii, ni moja katika njia anazopatia mkwanja na mkwanja huu ndio hivi anavoutumia...
Tazama list ya mikoko anayotambaa nayo Davido...hapa chini...
(Endelea kutazama mikoko mengine HAPA CHINI...)
BONYEZA HAPA ILI UFAHAMU NDINGA ZA MASTAA WENGINE KAMA THE GAME, PARIS HILTON NA WENGINE KIBAOO...CLICK=> CARS
Kijana huyu ametoka katika familia kitajili ya bwana Adedeji(Soma BIO ya davido hapa Bonyeza hapa)... ambaye anatamba na kibao kama AYE, GOBE na vengine kibao ...
Lakini si kwamba yeye kazaliwa kwenye familia ya Kifedha basi afanye kuachana na kazi ya usanii, ni moja katika njia anazopatia mkwanja na mkwanja huu ndio hivi anavoutumia...
Tazama list ya mikoko anayotambaa nayo Davido...hapa chini...
TAZAMA LIST YA MAGARI YA DAVIDO
12M NAIRE AUDI Q7
![]() |
| Mnyama akiwa amepozi kwenye mkoko wake wa million 12'naire |
Mercedes Benz G55 AMG
RED 2012 Hyundai Sonata
Davido alishinda mkoko katika tuzo za Next Rated Artist 2012
![]() | |
| Mnyama akiwa kwenye mkoko baada ya kushinda |
Silver 2012 Honda
17 million Naira Chevrolet Camaro.
Tuesday, February 18, 2014
LIFESTYLE : KIM KARDASHIAN CARS COLLECTION
Kwa Jina kamili huyu Mrembo hapa ni KIMBERLY NOEL KARDASHIAN, ni mmoja kati ya Stars nchini marekani mwenye wadhfa mkubwa anayejishughulisha kama Mfanyabishara, Mwanajamii ,Muigizaji, TV reality star,Model, Entrepreneur...
Kijana huyu ustar wake unaibuka juu zaidi katika Family reality show, inayoitwa Keepin' Up with the Kardashians ambayo ianarushwa na TV inayoitwa E! , na mwanadada huyu anajipatia mshikoo kibwena katika kazi hiyo ...sasa hivi ni moja kati ya matumizi anayoyafanya mdada huyu katika mshiko anaoupata...Tazama Ndinga anazomiliki Kim Kardashian...
Tazama MIKOKO 10 ya BEI MKASI ya KIM KARDASHIAN
Kim's Black Rolls Royce Ghost($265,000)
(Endelea kutazama hapa chinii..)
Kim's Mercedes-Benz G63 ($150,000)
Kim's Porsche Panamera($100,000)
Kim's Ferrari 458 Italia($325,000)
Kim's White Rolls Royce Ghost($250,000)
Kim's Blacked-Out Bentley Continental GTC()
Kim's Black Range Rover(£140,000)
Kim's White Range Rover
Lamborghini Aventador Bought for Kanye west($750,000)
2010 Maserati GranTurismo Convertible($136000)
Source : http://www.bornrich.com
: www.celebritycarsblog.com
Monday, February 10, 2014
CELEB - LIFESTYLE : THE GAME's CAR COLLECTION
Hujacheza mchezo wowote 'Game' kama bado hujapitia safari ya maisha ambayo huyu rapper amepitia. The game ni rapper, pia hiphop produza ,amezaliwa huko California L.A. akiwa kama mmoja wa vijana waliotolea kimuziki na Dr.Dre ,the Game pia ameanza Muziki 2002,na kufanikiwa kutoa Album yake ya kwanza 2005.
Hivi ndio anavotumia matunda ya kazi yake,,,,Tazama mikoko anayomiliki THe GAME ,,ili kijana mwenzangu upate mwamko wa maisha yako..!!
Tazama MIKOKO anayomiliki THE GAME hapa chini...
Porsche Panamera
Fisker Karma
Kati ya magari ya Kifahari ni hii moja Fisker karma, pia inamilikiwa na Justin bieberBonyeza hapa >> kujua List ya Mikoko ya Justin Bieber
Dogde Challenger
Bugatti Veyron
Bentley GT
Chevrolet Camaro
Leather wrapped Ferrari
source : www.celebritycarsblog.com
Tuesday, December 3, 2013
PHOTOS: LIST YA MAGARI YA KAFAHARI ANAYOMILIKI PARIS HILTON
Huyo hapo juu ni mwanadada Paris Hilton ambaye mwenye wadhfa mkubwa katika tasnia ya music pia ni kitukuu cha Conrad Hilton ambaye ni mmliki wa hotel za HILTON .
Pia Paris hilton anajishughulisha na shughuli nyingi kama uigizaji, uwanajamii, ufanyabiashara, producer, n.k. Mwanadada huyu ambaye kwa sasa yupo kwenye kundi la YMCMB linasimamiwa na mwanamuziki wa mindoko ya RAP Lil wayne.
Sasa hii ni moja ya matumizi ya mkwanja anaoupata katika miangaiko yake ya kila siku.
NDINGA 8 ZA BEI MBAYA ANAZOMILIKI PARIS HILTON.
*PINK BENTLEY CONTINENTAL*
*BENTLEY CONTINENTAL GT CONVARTIBLE*
*ROLLS ROYCE GHOST*
*FERRARI F430 SPIDER*
*LEXUS LFA*
*MERCEDES SLR*
Hii ndinga alipewa zawadi na aliyekuwa mpenzi wake ,Scott Storch.
*YUKON HYBRID*
*CADILLAC ESCALADE*
Subscribe to:
Posts (Atom)












































