Saturday, April 12, 2014

HOOT NEWS : JUSTIN BIEBER GOT NEW BUGATTI FROM BIRDMAN

Kama ilikuwa kawaida kumtunza mtu zawadi au kumsaidia binaadamu mwenzako sababu sisi woote tumeumbwa na mwenyezi mungu na unapomuona binaadamu mwenzako anapata tabu basi msaidie...hii aliithibitisha mnyama,CocaBouy, D2theP DIAMOND PLATNUMZ baada ya kumnunulia mkongwe wa muziki mzee Gurumo mkoko...
Sasa hii nyngine ni BALAAAA...!!!  kutoka kikundi cha wanahiphop kama Lilwayne, Mackmane, Jay sean n.k, CMB ambacho kinachomilikiwa na Bryan Williams A.K.A BIRDMAN , inaelezwa kuwa BIRDMAN amemnunulia Gari Msanii wa R&B JUSTIN BIEBER ambalo linagharimu kama $2Million .

Justin Bieber alipost kwenye ukurasa wake wa Istagram akisema "Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity" ...

sasa unaweza ukasema kuwa JB anakubalika kweli sababu hii ni ndinga ya pili katika COLLECTION zake za MAGARI ambalo alilozawadiwa  ,nyengine ni ile aliyopewa na msanii wa hiphop SEAN COMBS A.K.A P.DIDDY baada ya kutimiza miaka 16 (Bonyeza hapa uone huo mkoko)....

-source : time.com