Tuesday, December 3, 2013

PHOTOS: LIST YA MAGARI YA KAFAHARI ANAYOMILIKI PARIS HILTON

  Huyo hapo juu ni mwanadada Paris Hilton ambaye mwenye wadhfa mkubwa katika tasnia ya music pia ni kitukuu cha Conrad Hilton ambaye ni mmliki wa hotel za HILTON .
   Pia Paris hilton anajishughulisha na shughuli nyingi kama uigizaji, uwanajamii, ufanyabiashara, producer, n.k. Mwanadada huyu ambaye kwa sasa yupo kwenye kundi la YMCMB linasimamiwa na mwanamuziki wa mindoko ya  RAP Lil wayne.
Sasa hii ni moja ya matumizi ya mkwanja anaoupata katika miangaiko yake ya  kila siku.

NDINGA 8 ZA BEI MBAYA ANAZOMILIKI PARIS HILTON.

*PINK BENTLEY CONTINENTAL*

*BENTLEY CONTINENTAL GT CONVARTIBLE*



*ROLLS ROYCE GHOST*


*FERRARI F430 SPIDER*



*LEXUS LFA*



*MERCEDES SLR*
Hii ndinga alipewa zawadi na aliyekuwa mpenzi wake ,Scott Storch.



*YUKON HYBRID*



*CADILLAC ESCALADE*