Msanii Rich Mavoko wa mionoko ya R&B ya bongo Flavor, Usiku wa Jumapili(tar 29) alizindua rasmi Video ya wimbo wake 'Roho Yangu' katika ukumbi wa New Maisha club, Mjini Dar -es-salaam.
Katika show hiyo alisindikizwa na baadhi ya wasanii wenzake kama Jux Vuitton , shetta , dully sykes ,akiwemo na Mr blue na wengine wengi...
Tazama Picha hapa chini...