Thursday, December 5, 2013

R.I.P THE FATHER OF AFRICA, MR.NELSON ROLIHLAHLA MANDELA

Ni kupindi cha kusikitiza kwa sisi watoto wa AFRICA na dunia nzima kwa kuondokewa na Baba wa Afrika, si kwa umri wake bali kwa mapigano ya UHURU wa nchi yake na kukataza ubaguzi wa rangi ,na pia kusaidia nchi zote za Africa .
   NELSON  ROLIHLAHLA MANDELA alikuwa ni mwanamapinduzi wa nchini 'SOUTH AFRICA' aliyekuwa kiongozi ,RAIS wa nchi hiyo 1994-1999, alizaliwa 18-7-1918, Mvezo, South Africa, amefariki dunia saa 2:50 usiku wa al-hamisi(5/11/2013), huku Johannesburg, South Africa akiwa na miaka 95.