Katika mwaka 2013 tumesherehekea Siku za kuzaliwa kwa mastaa wengi hapa katika tasnia tofauti za Burudani ikiwa muziki, sinema n.k...
Kama ikiwa ni kawaida ya Siku ya Kuzaliwa huwa tunamuandaliwa Keki msherehi ikiwa ni moja kumtakia maisha mema. Zifuatazo ni picha zinazoonyesha Keki Za Mastaa tofauti dunia