Showing posts with label Celina Gomez. Show all posts
Showing posts with label Celina Gomez. Show all posts

Saturday, February 1, 2014

NEWS : JUSTIN BIEBER ANASWA AKILA BHATA PANAMA NA KIMWANA KIPYA

      Tangu Justin Bieber kuachana na Celina Gomez kumekuwa na Ripot za mitandao mingi kwamba, Star huyu wa R&B na POP music kuwa amekuwa akinaswa na kimwana kipya, Chantel Jeffries ambaye anafanya kazi ya Umodel. 
   Chantel amekuwa akionekana na justin sehemu tofauti tofaut ,kati ya sehemu ambazo Blogu hii imeinyakuwa kutoka mitandaoni ni hii ya PANAMA ambapo Justin alikuwa akila bahta baada ya kutoka Rehab, huku akiwa na Scooter Braun amabye ndie maneja wa bieber, na Crew yake.




TAZAMA PICHA ZA JUSTIN BIEBER NA CHANTEL HUKO PANAMA 








Source: www.nydailynews.com

Friday, December 27, 2013

PHOTOZ : CELEBRITIES BIRTHDAY CAKES 2013

    Katika mwaka 2013 tumesherehekea Siku za kuzaliwa kwa mastaa wengi hapa katika tasnia tofauti za Burudani ikiwa muziki, sinema n.k...
    Kama ikiwa  ni kawaida ya Siku ya Kuzaliwa huwa tunamuandaliwa Keki msherehi ikiwa ni moja kumtakia maisha mema. Zifuatazo ni picha zinazoonyesha Keki Za Mastaa tofauti dunia              
 

**Nicki Minaj**

**Chris Brown**


**Chrisina Augulera**


**Miley Cyrus**

 

**Rihanna**

**Celina Gomez**

**T.I**

**Lil' wayne**


Friday, October 11, 2013

NEWS : TWEETS ZA MATUSI KWA MAHATERZZ!!

Siku chache zilizopita kwenye TALK SHOW ya JIMMY KEMMEL huko U.S.. kulikuwa swala mitandao ambako aliongolea kuhusu TWEETS za matusi kwa baadhi ya masupastaaz wa huko barani kama mnyama LIl' wayne, 2 chains,Backstreet boys,celina gomez,na wengine weengi...
Tazama Video hapa chini iliuchekee!!

Friday, September 20, 2013

FAN'S CELEBRITY TATTOO(s)

Fan with Britney Spears Tattoo



Fan with Beyonce tattoo

Fan with James Brown Tattoo

Fan with Chuck Norris tattoo

Fan with Prince Tattoo

Fan with Arnold Shwarzenneger Tattoo

Fan with Oprah Winfery Tattoo

Fan with Harry Potter tattoo

Obsessed Fan of Miley Cylus 

Fan with Judge Juddy tattoo


Obsessed Fan with 3-Pink tattoos





Obsessed Fan with 3-Nicki Minaj tattoo





Fan with Celina & demi tattoo

Obsessed Fan with Drake tattoo