Showing posts with label Drake. Show all posts
Showing posts with label Drake. Show all posts
Saturday, April 19, 2014
Wednesday, April 9, 2014
Friday, February 28, 2014
HOOOT NEWS : RIHANNA AMDANDIA DRAKE KWENYE STAGE...HATAREEE!!
Hivi karibuni walionekana wakiwa pamoja kwenye moja ya Club huko L.A sasa hivi karibun Drake aliianza mishemishe zake za music na tour yake ya "WOULD YOU LIKE TOUR" huko paris...
Jarida la music MZHIPHOP limeeleza kuwa Drake anapenda kuwaalika Mafans wake akiwa kwenye stage na siku hiyo kilichoshangaza watu ni baada ya kuitwa Rihanna na kuvamia stage hiyo, Palais Omnisports de paris bercy.
Rihanna aliimba nyimbo ya "Pour iT up"..baada ya kupafon "Take care" na Drake Live..ikiwa kama mara ya Kwanza.
Source : MZHIPHOP.COM
Jarida la music MZHIPHOP limeeleza kuwa Drake anapenda kuwaalika Mafans wake akiwa kwenye stage na siku hiyo kilichoshangaza watu ni baada ya kuitwa Rihanna na kuvamia stage hiyo, Palais Omnisports de paris bercy.
Rihanna aliimba nyimbo ya "Pour iT up"..baada ya kupafon "Take care" na Drake Live..ikiwa kama mara ya Kwanza.
Tazama VIDEO za yaliojiri Siku Hiyo...
WEEEEEE...RIRIIII..!! NI SHIDAAAAA..!!
(Endelea Kushangaa HAPA CHINII..NI BALAAA...!!)
Source : MZHIPHOP.COM
Tuesday, February 11, 2014
HOOT NEWS : DRAKE & RIHANNA GOT BACK TOGETHER
Drake na Rihanna wamerudia pamoja wikiend hii na kuonekana wakiparteey pamoja katika Night club moja huko L.A Ijumaa.
Vyanzo vya habari vimeiambia TMZ kwamba Drake na Rihanna waliingia mida tofauti lakini wapekuzi wa ndani ya club wamesema baada ya mda kidogo Rihanna akaonekana akijisogeza katika private-table ya Drake na kuwa pamoja mda woote mpaka huku wakionesha kuwa na furaha pamoja...
Asubuhi yake ilipowadia drake alionekana akitoka mda mchache tu badala ya Rihanna ...
Tazama video hapa Chini ili upate kuona Yaliojiri...
Drake & Rihanna -- Back Together ... In L.A. Nightclub
Sunday, February 2, 2014
LIFESTYLE : XCLUSIVELY TATTOOS ZA DRAKE NA MAANA YAKE
Kwa jina kamili ni Aubrey Drake Graham ,akiwa kama ni msanii wa Hiphop na R&B kutoka kundi la YMCMB, Drake anaLifestyles tofauti za maisha yake ambapo mojawapo ni hii hapa ya kujichora tattoos ,blogu hii leo inakuletea Xclusively tattoos za Drake, ambazo amejichora kwenye mwili wake...
Tazama Tattoo 10 za DRAKE HAPA CHINI...
Hapo juu ni mgongo wa Drake ambao ni sehemu kubwa ya mwili wake ambayo ndio ina tattoos zake nyingi...sasa tuanze kuchambua moja baada ya nyingine...
1.OVO OWL tattoo.
Ukiangalia kwenye picha hapo juu,upande wa kulia chini kidogo ya bega lake la upande huo kuna tattoo ya Bundi ,hii tattoo inaitwa OVO OWL tattoo ambayo bundi huyo ni ishara ya Secret society iitwayo Bohemian Grove na imeambanishwa na maneno madogo yanayosema "If i die today, it'll be a holiday/atf/ovo/ymcmb/reps-up".
2. AALIYA POTRAIT Tattoo.
Ukiangalia kwenye Mgongo wake upande wa kushoto chin kidogo kuna tattoo ya aliyekuwa Msanii wa R&B, Aaliyah ambaye aliefariki mwaka 2001 kwa ajali ya ndege. Drake yuko obsessed na Aaliyah kwahiyo Dec.2011 aliamua kuchora tatto hii.
3. SONGBIRD tattoo.
4. Arm Tattoo of CN Tower.
Kama ilivokuwa kwa mzawa mwenzake ambaye ni Justin Bieber kutoka huko Toronto , Drake ni mtu wa kujisifu kwa huko alipotoka, hii CN TOWER, ni mnara wa mawasiliano ambao uko mjini jijini Toronto ambao ni kielelezo cha mji huo. Tattoo hii aliichora March, 2012.
5. "ALL KINDS"Arm Tattoo.
February ,2012 Drake aliichora tattoo hii ndani kidogo ya mkono wake wa kulia.
6 . 416 Tattoo.
Drake akiwa kama anafanya kazi zake za muziki U.S lakini hakutupi kwao na hii kama ilivokuwa tattoo zingine zizowakilisha mji wa kwao Toronto ,na hii inawakilisha Area code ya hiyo sehemu
7. GRANDMOTHER & ANCLE Potrait Tattoo.
Kati ya moja ya tattoo kubwa ni hii ambayo ipo nyuma ya mgongon mwake ambayo aliiyongeza mwilini mwake Dec,2012. Tattoo ni inaonesha mwanamke ambaye ni bibi yake mzaa mama,Evelyn Sher ambaye aliekuwa naye ni Pop star wa muziki kipindi hicho ,huku akimhug mjomba yake drake ambae pia nae alikuwa muimbaji . Drake anamkubali saana mjomba yake kwa mafanikio yake makubwa kwenye muziki na pia ukaribu wake kwa mama mzaa mama yake,Sher.
8. MOTHER'S PORTRAIT Tattoo.
Baada ya kuchora family portrait tattoo ya mjomba na Bibi yake, drake akaamua kumchora mtu kwenye mwili wake ambaye kwake ni muhimu sana si mwengine bali ni mama yake, Sandi Graham. Mama yake alimlea drake kwa kipindi chote baada ya kuachana na baba yake ambapo drake alikuwa na miaka mitano na sasa drake anasema mama yake ni mtu muhimu saana katika maisha yake.
9. HOUSTON STAR shoulder Tattoo.
November 18 ,2013, Drake aliamua kuongeza tattoo hii baada ya kuachia mshiko wa maana $17,000 katika strip club moja iitwayo Houston Strip club huko Texas.
10. FATHER'S PORTRAIT tattoo.
Hivi karibuni January,2014 ,Drake aliamua kuchora tattoo ya sura ya baba yake mzazi, Denis Graham. Kwahiyo katika xperienca uliyoipata ndugu msomaji unaweza sasa kukubali kwamba Drake ni msanii ambaye anapenda saana Familia yake.
For MORE about drake in this site CLICK HERE..
Source : www.popstartats.com
Wednesday, January 29, 2014
Monday, December 30, 2013
Thursday, December 19, 2013
Sunday, November 24, 2013
Sunday, November 3, 2013
PHOTOS: KIM KARDASHIAN & KANYE WEST, WEDDING GUEST!
Baada ya 'ENGEMENT DAY '(21oct) ,kim & kanye wametoa wametoa mwaliko kwa baadhi ya marafiki/mastaa wenzao.
Hawa ndio baadhi ya mastaa wakubwa huko U.S ambao walioalikwa kwenye HARUSI hiyo ya kanye west na kim kardashian itakofanyika hivi karibu siku ambayo mitandao mingi huko imeeleza kwamba itakuwa ni 'suprise'.
Tazama picha hapa chini...
THE SMITH FAMILY
Chyna & Tyga
Sean Combs, p.diddy
YMCMB, Drake
Josh & Fergie
Jonathan
Lamar odom sisters, Malika & Khadija
mario lopez and ryan seacrest
naya rivera & big sean
simon-cowell
Friday, November 1, 2013
PHOTOS: XCLUSIV CELEBRITY HALLOWEEN COSTUMES 2013
From the HALLOWEEN DAY (31st October) the following are the BEST hallowen costumes from various CELEBRITIES...
Nicki minaj dresses as Officer nicki minaj
Ellen Gegeneres as Nicki minaj
Paris Hilton dresses as Miley cyrus
Kendel jenner dresses like a cat
Beyonce dresses like AN ANGEL
Tom brady & wife Gisele bundchen dresses asDorothy and lion for wizard OZ
Jessica Alba and friends dresses like WITCHES
Queen Latifa dresses as NEFERTITI
Rihanna dresses as CHOLA ZOMBIE
Demi lavato as A ZOMBIE
Drake as YESSUS 'kanye west'
Kim kardashian, kanye west ,scott dissick, Kourtney Kardashian & Jonathan Cheban as BATMAN characters
Miley cyrus as Lil kim
Subscribe to:
Posts (Atom)










.jpg)








































