Tuesday, February 11, 2014

HOOT NEWS : DRAKE & RIHANNA GOT BACK TOGETHER

Drake na Rihanna wamerudia pamoja wikiend hii na kuonekana wakiparteey pamoja katika Night club moja huko L.A Ijumaa.
Vyanzo vya habari vimeiambia TMZ kwamba Drake na Rihanna waliingia mida tofauti lakini wapekuzi wa ndani ya club wamesema baada ya mda kidogo Rihanna akaonekana akijisogeza katika private-table ya Drake na kuwa pamoja mda woote mpaka huku wakionesha kuwa na furaha pamoja...
Asubuhi yake ilipowadia drake alionekana akitoka mda mchache tu badala ya Rihanna ...

Tazama video hapa Chini ili upate kuona Yaliojiri...


Drake & Rihanna -- Back Together ... In L.A. Nightclub