Amber Levonchuck a.k.a Amber rose kama anavyojulikana ni mmoja kati ya ma-Model maarufu huko kitongoji cha Obama...Mke huyu wa Rapper Wiz Khalifa'Tattoo' kwa mtoto huyu ni moja kati ya Lifestyle zake, na kielelezo kikubwa kuhusu maisha yake.
Fatilia Chini baadhi ya tattoos za Amber Rose...
Sweet Rose Tattoo
DEAR MAMA tattoo(Shauna Soares)
(Endelea Kufatilia...hapa Chini..!)
Haters Suck tattoo
Blooming Rose Tattoo
Four Leaf Clover Tattoo
Cameroon'Cam'
hii ni tattoo inayotambulisha jina la Mme wake ,Rapper Wiz khalifa.
Dog Tattoo
Hivi ni vijibwa viwili vya amber rose.
Wiz Potrait Tattoo
sijui niseme ndio kupendwa au kupenda haya sasa ...huyu ndio wiz khalifa na sura yake.
Wild thang
Ni moja kati ya tatoo za kwanza katika mwili wake, aliichora wakati anamiaka 15
Source : Google
bet.com