Hujacheza mchezo wowote 'Game' kama bado hujapitia safari ya maisha ambayo huyu rapper amepitia. The game ni rapper, pia hiphop produza ,amezaliwa huko California L.A. akiwa kama mmoja wa vijana waliotolea kimuziki na Dr.Dre ,the Game pia ameanza Muziki 2002,na kufanikiwa kutoa Album yake ya kwanza 2005.
Hivi ndio anavotumia matunda ya kazi yake,,,,Tazama mikoko anayomiliki THe GAME ,,ili kijana mwenzangu upate mwamko wa maisha yako..!!
Tazama MIKOKO anayomiliki THE GAME hapa chini...
Porsche Panamera
Fisker Karma
Kati ya magari ya Kifahari ni hii moja Fisker karma, pia inamilikiwa na Justin bieberBonyeza hapa >> kujua List ya Mikoko ya Justin Bieber
Dogde Challenger
Bugatti Veyron
Bentley GT
Chevrolet Camaro
Leather wrapped Ferrari
source : www.celebritycarsblog.com