Kutoka NISHA'S FILM PRODUCTION, inayosimamiwa na mwanadada NISHA a.k.a Nisha beebe, wanakuletea Film yao mpya inayoeenda kwa jina GUMZO.sasa GUMZO iko jikoni , na inategemea kutoka mwezi huu Februari ndugu msomi wa nakala hii kaa MKAO WA KULA bila ya KUIKOSA movie hii mpya KALIII..!!
Nisha ,akiwa kama C.E.O wa hiyo Production ameshirikiana na baadhi ya mastaa wakubwa kutoka BONGO Movies ,kama Hemed Suleiman (PHD -Hemed), Mkali wa Komed hapa bongo ,King Majuto, Wastara sajuki , Tausi..n.k ili kuweza kuleta burudani isiyo na kifani kwenye BONGO MOVIES...!!
TAZAMA PICHA ZA NISHA KUHUSIANA NA MOVIE YA GUMZO...
Hii ndio INTERVIEW ya kwanza ya Nisha kuhusu GUMZO - MOVIE
Endelea Kutazama Picha Hapa Chini...
Hizi ndio CAPTURED SCENES za GUMZO......HAHAHA!! PATAMU HAPA!!
Hii ndio baadhi ya CAST ya GUMZO
Hemed Suleima(PHD-hemedy)
KING MAJUTO
Wastara Sajuki
Pamoja na C.E.O mwenyewe NISHA BEEBE!!
Source : Nisha Facebook page
google search