Monday, February 10, 2014

BIO : CRISTIANO RONALDO - CR7

   Jina la Kuzaliwa ni Cristiano Ronaldo Dos santos Aveiro, kuzaliwa kwake ni  5/02/1985, anajulikana kama Christiano Ronaldo A.k.A CR7 ,kijana huyu ni mchezaji mpira wa miguu(Football) wa Timu ya taifa ya Ureno na pia mchezaji wa timu ya Club Real Madrid akiwa kama Forward wao. 
CR7 amekuwa mchezaji mwenye Dau kubwa Duniani badala ya kuhama Manchester United na Kwenda Real Madrid 2009 kwa kiasi cha Dola za Kimarekani 131.6Milion(pauni Milion 80) ...Duuh!. Ronaldo ameingia kimkataba na Real madrid kwa kilipwa Euro Milion 21 kwa mwaka baada ya Ushuru.

EARLY LIFE 

Ronaldo alizaliwa Santo Antonio jirani na Funchal ,Madeila akiwa kama mtoto wa mwisho wa Maria Dolores Dos Santos Aveiro,ambae alikuwa Mpishi na baba yake ni Jose Dinis Aveiro akiwa kama Mtunza bustani wa halmashauri. Jina lake la Pili 'Ronaldo'  alipewa badala ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan, ambaye alikuwa Actor ampendae baba'ke. Ronaldo alizaliwa akiwa na kaka yake ,Hugo na dada zake wawili Elma na Liliana Catia. Familia ya CR7 ilikuwa ya kikatoliki na maisha yao waliishi kimaskini . CR7 hakuwa na Toyz za kuchezea na yeye na kaka yake na dada zake walishare chumba cha kulala kimoja. Kipindi cha shule CR7 alikuwa anafahamika saana lakini alishawahi kufukuzwa shule badala ya kumrushia mwalimu wake kiti..na ye kudai kwamba mwalimu alimshushia heshma yake. wakati kijana alipofika miaka 14 alikubaliana na mama'ke kuendelea zaidi na fani yake ya kucheza mpira wa miguu.

Football carrier

Wakati wa ujana wake ronaldo ameshachezea timu nyingi sana lakini 2002 ,alikuwa amekaribishwa arsenal akutane na Arsenal wenger ,ambae ni kocha wa Timu ya arsenal, wenger alishauriana na wawakilishi wa kijana ili asign mkataba kuingia timu hiyo badala ya miezi michache lakini kijana alikubalika zaidi na kocha wa MAN U mwaka 2003 na kusign mkataba kuingia timu hiyo.
Akiwa MANCHESTER UNITED...
CR7 alisign mkataba wa kuichezea MAN U na kupewa kitita cha Pauni 12.24Milion ikiwa kama mshahara wake. Ronaldo alitaka kupewa jezi ya no# 28, lakini Ferguson alikataa na akasema kwamba apewe no#7. Kijana aliichezea timu hii kwa muhula wa 2003-2009
Akiwa REAL MADRID...
CR7 alisajiliwa Real madrid 11, june ,na timu hiyo ikatangaza kuwa Ronaldo atajiunga timu hiyo july, 1 kwa kitita cha pauni Milion 80 , akawa mchezaji wa Dau kubwa Duniani. Alitangazwa na Media za dunia kuwa mchezaji wa timu hiyo ikiwa 6,july na kupewa jezi no#9 kwa kukabidhiwa na gwiji wa timu hiyo Alfredo di stefano. HAPA NDIO BALAA LIKAANZA.. siku ya kualikwa Mnyama huyo uwanja wa Real,  Santiago Bernabeu ,uwanja huo ulifurika watu kati elfu 80,000 mpaka 85,000  na kuipita rekodi ya gwiji wa football Diego Maradona mwaka 1984 alivofurika 75,000 ya watu alivyokuwa trasfered kutoka Barca kwenda Napoli, Italy.

Tazama Baadhi ya Picha za Vikombe alivonyaka Mnyama hapa  Chini na Quotes za baadhi ya  magwiji wa mpira kwa CR7

Alivoopoa kikombe cha Ballon d'or huko paris-2008
Del deporte -2009

PFA Players' of the year
Golden boot - 40 goals..2011-2012

QUOTES...
I have nothing but praise for the boy. He is easily the best player in the world. His contribution as a goal threat is unbelievable. His stats are incredible. Strikes at goal, attempts on goal, raids into the penalty box, headers. It is all there. Absolutely astounding.
— Alex Ferguson, after Ronaldo's transfer to Real Madrid.
If Messi is the best on the planet, Ronaldo is the best in the universe. If you are going to give out the Ballon d'Or because a player is the best, give it to Cristiano or Messi. But I ask: if the two are on the same level, is it normal that one wins four and the other one? It is not.
— José Mourinho, when asked about the 2012 Ballon d'Or.
In the form he is in, given the chance, he will score. Cristiano wants to bring his team to the final and show why he should be considered the best player in the world.
— Diego Maradona, on Ronaldo's opportunity to take Portugal to the final.
There has always been big talk about Ronaldo and his attitude and all of that, but at some point you have to stop talking about attitude and look at the stats and what he has been doing. Stop talking and just watch. What he's been doing has been crazy.
— Former French star Thierry Henry.[302]




























FORR THE LADDYY'zz





Source : Wikipedia
                google search