Khloe Kardashian ambaye ni dada mkubwa wa Kim kardashian sasa ameamua Kuvunja Ndoa yake ya miaka 4 na mcheza mpira wa kikapu Huko Marekani, Lamar odom...
Kutokana na Usumbufu katika ndoa hiyoo sasa wawili hao hawako pamoja.
Tazama 'documents' za Talaka hapa chini...