Monday, December 2, 2013

NEWS : THE LAST MOVIE BY PAUL WALKER

   Kama ilivyokuwa kwa marehemu Steven Kanumba kutuachia sinema ya Mwisho , basi Pia star wa series ya sinema ya FAST & FURIOUS ,Paul walker, ametutoka huku akiacha sinema yake mpya ambayo inatarajia kutoka Dec 13. 
 Sinema hii ina Hadithi ya kusisimua, ambako  Paul walker amecheza kama baba  ambaye anayepigana kumuweka hai mtoto wake mchanga kufuatiwa na Kimbunga cha Katrina kinachojitokeza mahali alipozaliwa huyo mtoto.
Tazama VIDEO-TRAILER hapa chini... 

KWAKUFAHAMU HABARI ZAIDI KUHUSU KIFO CHA PAUL WALKER , BONYEZA HAPA...