Showing posts with label Paul walker. Show all posts
Showing posts with label Paul walker. Show all posts

Thursday, December 5, 2013

VIDEO : TRIBUTE TO PAUL WALKER BY FAST & FURIOUS TEAM

  Hii ndio Video iliyowekwa na Kampuni ya production ya Fast & Furious Kutoka na Kifo Cha Paul Walker Kilichotokea Tarehe 30/11 ,kutoka na ajali ya Gari huko Santa clarita California.
SHIKA TISHU YA KUJIFUTA CHOZI KABLA YA KUANGALIA VIDEO HII...

KWA HABARI ZAIDI KUTOKANA NA KIFO CHA PAUL WALKER BONYEZA HAPA.

Monday, December 2, 2013

NEWS : THE LAST MOVIE BY PAUL WALKER

   Kama ilivyokuwa kwa marehemu Steven Kanumba kutuachia sinema ya Mwisho , basi Pia star wa series ya sinema ya FAST & FURIOUS ,Paul walker, ametutoka huku akiacha sinema yake mpya ambayo inatarajia kutoka Dec 13. 
 Sinema hii ina Hadithi ya kusisimua, ambako  Paul walker amecheza kama baba  ambaye anayepigana kumuweka hai mtoto wake mchanga kufuatiwa na Kimbunga cha Katrina kinachojitokeza mahali alipozaliwa huyo mtoto.
Tazama VIDEO-TRAILER hapa chini... 

KWAKUFAHAMU HABARI ZAIDI KUHUSU KIFO CHA PAUL WALKER , BONYEZA HAPA...

Sunday, December 1, 2013

NEWS; TAZAMA VIDEO INAYOONYESHA AJALI YA PAUL WALKER

Tazama video hapa chini inayoonyesha jinsi gari alilokuwa PAUL WALKER na rafiki yake likiteketea kwa moto.
KWAKUTAKA KUJUA MENGI KUHUSU KIFO CHA PAUL WALKER ...BONYEZA HAPA

R.I.P PAUL WALKER ( DEATH TRAGIC OF FAST & FURIOUS STAR PAUL WALKER)

 
(SANTA CLARITY CALIFORNIA)- PAUL WALKER star wa series ya sinema 'Fast & Furious' amefariki dunia Juma-mosi majira ya mchana akiwa na rafki yake katika ajali ya gari aina ya Porsche lenye rangi nyekundu, huko kaskazini ya Los Angels. Habari hiyo imetolewa na mwanajamii wake, Ame van Iden. 
  Katika Ukurasa wa Facebook ya Paul walker imeelezwa kuwa ,Paul walker alikuwa ni abiria katika gari hiyo ya rafiki yake, ambapo alikuwa katika eneo la kuhudhuria 'charity' ya 'organization' yake ya 'REACH OUT WORLDWIDE' .
 Vyombo vya Dola huko Los Angels Vimeeleza kuwa ,walikuta gari Likiwaka moto Baaada ya kupata habari kuwa kuna ajali imetokea ambako watu wawili wamefariki dunia waliokuwa kwenye gari hiyo. Habari imeelezwa kuwa gari liligonga msitimu wa taa na kugonga mti na kulipuka kwa kuwaka moto.
 Paul Walker amefariki dunia akiwa na miaka 40, na akiwa katika kazi yake ya muendelezo wa "Fast & Furious 7" ,na pia akiwa mmoja wa mastaa katika 'Drama' iitwayo 'HOURS'.
MUNGU AMREHEMU ...AMEIN!

Hizi ndio Picha za ajali ya PAUL WALKER

(angalia hapa chini)





Hii picha inaonesha usiku wa kuamkia leo ,Ma-fans wa PAUL WALKER wakiweka heshma ya Mishumaa na Maua katika mahali ambapo ajali ya kifo ilipotokea.