Mkali wa Miondoko ya
Hip Hop Sean Combs A.K.A P.DIDDY amedondosha Dola za Kimarekani Milioni 40 kwenye Hekalu moja kubwa huko Mjini
LOs Angels Ambapo Mtandao wa
TMZ umeeleza kuwa ndipo karibu na mahali alipofia Mfalme wa pop Michael Jackson...
Hekalu Hiyo ina Ukubwa wa futi 17,000 square pamoja na futi 3,000 square ambazo ni za moja wa mjengo wa kulala wageni...katika mjengo huu pia kuna massage room, beauty salon na Spa House