Saturday, February 1, 2014

NEWS : JUSTIN BIEBER ANASWA AKILA BHATA PANAMA NA KIMWANA KIPYA

      Tangu Justin Bieber kuachana na Celina Gomez kumekuwa na Ripot za mitandao mingi kwamba, Star huyu wa R&B na POP music kuwa amekuwa akinaswa na kimwana kipya, Chantel Jeffries ambaye anafanya kazi ya Umodel. 
   Chantel amekuwa akionekana na justin sehemu tofauti tofaut ,kati ya sehemu ambazo Blogu hii imeinyakuwa kutoka mitandaoni ni hii ya PANAMA ambapo Justin alikuwa akila bahta baada ya kutoka Rehab, huku akiwa na Scooter Braun amabye ndie maneja wa bieber, na Crew yake.
TAZAMA PICHA ZA JUSTIN BIEBER NA CHANTEL HUKO PANAMA 
Source: www.nydailynews.com