Saturday, February 22, 2014

LIFESTYLE : LADY GAGA'S CRIBz

   Kwa jina kamili huyu mrembo hapo ni Stefan Joanne Angelina Germanotta, au tunavomjua kikazi zaidi ni Lady Gaga ,ni mmoja kati ya mastaa wa music wa POP wakubwa marekani ambae amekuwa influenced katika kipaji hicho na Legend wa muziki kama The beatles, Stevie wonder ,Elton John, Bruce Springsteen na wengine wengi.
Mwaka 2011 aliuza Kopi 1,108,000 baada ya kutoa album yake ya tatu yenye kibao cha  'Born this way' wiki ya kwanza ya mauzo ya Album. Msanii huyu pia anafahamika kuvaa mavazi ambayo ni tofauti (Unique)....
Kufatiwa na mafanikio yoote haya ya Lady gaga mpaka sasa ,ndugu msomaji unaweza ukajiuliza je anaishi wapi au analala wapi...
Nakala hii unakuletea laivu Makazi ya Lady gaga ambayo anayomiliki mwanamuziki huyu..endelea kufahamu....

Tazama Cribz za LADY GAGA ambazo anazomiliki...

CALIFORNIA HOME
(endelea kufahamu zaidi hapa chini...)


NEW YORK CRIB
Source: bornrich.com