Thursday, February 20, 2014

LIFESTYLE : XCLUSIVLY AMBER ROSE TATTOOSAmber Levonchuck a.k.a Amber rose kama anavyojulikana ni mmoja kati ya ma-Model maarufu huko kitongoji cha Obama...
Mke huyu wa Rapper Wiz Khalifa'Tattoo' kwa mtoto huyu ni moja kati ya Lifestyle zake, na kielelezo kikubwa kuhusu maisha yake.
Fatilia Chini baadhi ya tattoos za Amber Rose... 

 Sweet Rose Tattoo


DEAR MAMA tattoo(Shauna Soares)

(Endelea Kufatilia...hapa Chini..!)

Haters Suck tattoo


Blooming Rose TattooFour Leaf Clover Tattoo


Cameroon'Cam'

hii ni tattoo inayotambulisha jina la Mme wake ,Rapper Wiz khalifa.Dog TattooHivi ni vijibwa viwili vya amber rose.

Wiz Potrait Tattoo 

sijui niseme ndio kupendwa au kupenda haya sasa ...huyu ndio wiz khalifa na sura yake.


 Wild thang

Ni moja kati ya tatoo za kwanza katika mwili wake, aliichora wakati anamiaka 15Source : Google 
                bet.com