Thursday, October 31, 2013

Saturday, October 26, 2013

NEW VIDEO : ENRIQUE IGLESIAS - HEART ATTACK

WATCH NEW VIDEO BY ENRIQUE 'HEART ATTACK'

MIXTAPE : CHEVY WOODS - GANG LAND


DOWNLOAD/LISTEN to NEW MIXTAPE by CHEVY WOODS

EVENT: KIM KARDASHIAN & KANYE WEST ENGAGEMENT

  Siku ya tarehe 21/10/2013, mwanamuziki, miondoko ya RAP, huko marekani , Kanye west ali-propose kwa mpenzi wake 'reality star' Kim kardashian. Ambako pia ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo...
 Rapper huyo alikodi uwanja mmoja mjini san francisco  'AT&T' kwaajili ya zoezi hilo, na akatoa swali ambalo wanawake wengi wanaokuwa katika mapenzi wanapenda kuulizwa hasa kwa wapenzi wao,,'PLEEASE MARRY ME!!!'..wakiwa mbele ya ndugu na marafki wa mastaa hao wawili.
 Sasa kim kardashian ana bonge la BLING!! kwenye kidole cha mkono wake wa kushoto, ambayo inagharama zaidi ya pete ya X-hubby wake Kris humphrey...
  '15-carat diamond ring' ndiyo aliyovishwa Kim kardashian inayogharimu $5-MILLION, ambayo ni zaidi ya BILLION 7 za kitanzania.  
Tazama video hapa chini ili kujua yaliojili siku hiyo..

Hizi ndio picha zilizopigwa siku hiyo...

  Maisha yanataka nini tena...mwanamke unavishwa pete inayogharimu buggati zaidi ya mbili , au inayoweza kumpa maisha mtu akawa tajir mkubwa  kibongobongo... 


Hawa ni ndugu pamoja na marafki wa Kim kardshian katika picha ya pamoja.
Mtoto anafuraha kweliiiii....dah! kweli maisha ya ndoto jamaniiii...

MWAAAAHH !!! to haterssss....
Huu ndio uwanja alikodi KANYE...

PLEEASEEE!!.. MARRRRY MEEE....YEEESS!!EVENT: MATENGENEZO YA STAGE YA FIESTA-2013_DAR ES SALAAM


  FIESTA ni moja kati ya show kubwa ambazo zinazotokea Tz ...kutoka mikoa tofauti nchini sasa ipo mjini Dar es salaam.
  Ndani ya viwanja vya Leaders wasaani wa serengeti Fiesta kama Mnyama Diamond Platinumz ,Chege chigunda ,madee n.k...wakiongozwa na wasanii wakubwa kutoka nje ya nchi kama Davido, Mohombi, iyanya n.k , watafanya yao siku ya leo hapo leaders
Hii ndo stage kubwa ya fiesta inavotengenezwa...
Friday, October 25, 2013

AUDIO : 50 CENT FT LLOYD BANKS : THE BANKS WORKOUT

`NEW AUDIO : RICK ROSS - ROYALS

Listen/download...

NEW VIDEO : MAVADO FT NICKI MINAJ - GIVE IT ALL TO ME

NEW AUDIO: SOLO THANG FT MR.BLUE - MDUDU

Download/Listen To SOLO THANG FT MR.BLUE 'MDUDU'

WEMA SEPETU'S ENDLESS FAME PRODUCTION

“So be sure when you step, Step with care and great tact. And remember that life's A Great Balancing Act. And will you succeed? Yes! You will, indeed!"
And from my Quote of the Day, thats what  Actress, bosslady ,the Gergious Miss Wema sepetu,,,well has succeded by opening her own production company by the name 'ENDLESS FAME PRODUCTION'
Hivi ndivyo wasanii wote na masupastaa wa kibongo wanavyotakiwa kuchukua Mfano kwa mwanadada huyo na kujiendeleza na maisha yao...
 from this Blog we wish u the better success...and the 'RISE ABOVE ALL'.
 Angalia picha chini zinazoonyesha baadhi ya sehamu ya ofisi ya wema...


For about miss wema ,CLICK HERE...

Sunday, October 20, 2013

NEWS : A$$ CHALLENGE_KIM KARDASHIAN Vs ANASTAZIA ASHLEY

  Mtandao mkubwa wa habari za maceleb wa majuu 'TMZ' katika moja ya habari zao 'Who'd you Rather',wametoa shindano la ukubwa wa A$$(makalio) kati ta mama watoto wa rapper Kanye west 'Kim kardashian' na kati ya mmoja wa mastaa Anastazia ashley.
Kama utapenda kuVOTE ingia hapa--> TMZ
Fore more about Kim kardashian CLICK HERE...


NEW AUDIO : Dully sykes - Kabinti Special

                                                         
New audio music from BONGO FLAVOUR artist "THE LEGEND" Dully sykes _Kabinti Special
Dowload/Listen below...

PIC OF THE DAY : OMARY SHAREEF

NAME :Omary shareef
nickname : Ommy Gold
NEXT TANZANIA TOP MODEL, from Tanzania dar es saalam
FACEBOOK: Ommykiz

NEW AUDIO : FID Q FT JUMA NATURE - SIRI YA MCHEZOFareed kubanda A.K.A fid Q aja upya tena na ngoma mpya akimshirikisha juma nature
"SIRI YA MCHEZO"

Thursday, October 17, 2013

Wednesday, October 16, 2013

PIC. OF THE DAY: NICKI MINAJ

NICKI MINAJ BOSSLADY @COOLECTION LAUCH AT KSMART TODAY.For more about NICKI MINAJ CLICK HERE... 

EVENT : USIKU WA HASARA ROHO BILICANAS FT JABBY@bilicanas _Jpili Hii!

USIKU WA HASARA ROHO... 
BONGE LA SHOW KUTOKA KWA MSANII WA BONGO FLAVOUR JABBY ,ITAKAYOFANYIKA NDANI YA CLUB BILICANAS JPILI HII(20/10/2013), AKISINDIKIZWA NA WASANII KAMA SPINCE, MIRROR, ALLY NIPISHE, ABDU KIBA NA WENGINE KIBAOO...

AUDIO : BET Cypher Kendrick Lamar Feat. ScHoolboy Q, Ab-Soul, Jay Rock & Isaiah Rashad

Listen /Download THE XCLUSIV BET CYPHER from Kendrick Lamar...

NEW VIDEO : JABBY FT ALLY KIBA - HASARA ROHO

The NEW upcoming Artist JABBY release His NEW video ft Ally kiba...KWIBIII KWIBIIIII...... 
WATCH the Video below