Thursday, October 10, 2013

NEWS: PICHA ZA DIAMOND PLATINUMz & THE GEORGIOUS WEMA SEPETU WAKINA CHINA ZASAMBAA...DIAMOND ASEMA YAFUATAYOO..

Baada ya picha za BONGO FLAVOUR STAR Diamond Platinumz akiwa na X-wake,Wema sepetu kusambaa ,wakijiachia Uchinani(CHINA)...diamond asemaa hivii...
"hizo ni picha zinazoonyesha ujio wa movie mpya inayoitwa "Temptation" ambayo itakuwa gumzo na mfano bora kutoka Tanzania."

 
 

 Pia bwana Diamond ana haya ya kusema kwenye ukurasa wake wa Twitter
kufahamu au kujua zaidi habar za Diamon Platinumz kutoka kwa blogu hii ,bonyeza hapa...