Saturday, October 26, 2013

EVENT: KIM KARDASHIAN & KANYE WEST ENGAGEMENT

  Siku ya tarehe 21/10/2013, mwanamuziki, miondoko ya RAP, huko marekani , Kanye west ali-propose kwa mpenzi wake 'reality star' Kim kardashian. Ambako pia ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo...
 Rapper huyo alikodi uwanja mmoja mjini san francisco  'AT&T' kwaajili ya zoezi hilo, na akatoa swali ambalo wanawake wengi wanaokuwa katika mapenzi wanapenda kuulizwa hasa kwa wapenzi wao,,'PLEEASE MARRY ME!!!'..wakiwa mbele ya ndugu na marafki wa mastaa hao wawili.
 Sasa kim kardashian ana bonge la BLING!! kwenye kidole cha mkono wake wa kushoto, ambayo inagharama zaidi ya pete ya X-hubby wake Kris humphrey...
  '15-carat diamond ring' ndiyo aliyovishwa Kim kardashian inayogharimu $5-MILLION, ambayo ni zaidi ya BILLION 7 za kitanzania.  
Tazama video hapa chini ili kujua yaliojili siku hiyo..

Hizi ndio picha zilizopigwa siku hiyo...

  Maisha yanataka nini tena...mwanamke unavishwa pete inayogharimu buggati zaidi ya mbili , au inayoweza kumpa maisha mtu akawa tajir mkubwa  kibongobongo... 


Hawa ni ndugu pamoja na marafki wa Kim kardshian katika picha ya pamoja.
Mtoto anafuraha kweliiiii....dah! kweli maisha ya ndoto jamaniiii...

MWAAAAHH !!! to haterssss....
Huu ndio uwanja alikodi KANYE...

PLEEASEEE!!.. MARRRRY MEEE....YEEESS!!