Saturday, February 15, 2014

NEW MOVIE : GUMZO


UNAAMBIWA...
Tamaa mbele Mauti Nyuma ,si kila kiingiacho ni Dhahabu zaweza kuwa kokoto . Hii ni ndani ya GUMZO ,fuatilia Kisa hichi.
   GUMZO ,ni filamu mpya ya kibongo inayotarajia kutoka hivi karibuni mnamo Tar 27,Feb ya mwaka huu...iliyo na vionjo vingi kutoka kwa produza wetu wa Filamu kali kama Pusi na Paku ,SALMA JABU NISHA ,wa Salma Nisha's Film Production.
  Filamu hii imeshirikisha wasanii wakubwa kutoka bongo muviz kama KING majuto ,Wastara ,PHD hemed , na anayesemekana mdada Mfupi kushinda woote TeeZee ,Tausi...sasa kama unambavu za Chuma USIKOSE KIONJO HiiKIIII tar 27/02...!!
Kwa Kutaka KUFAHAMU mengi kuhusu FILAMU hii BONYEZA HAPA>>GUMZO