Showing posts with label Salma Jabu Nisha. Show all posts
Showing posts with label Salma Jabu Nisha. Show all posts

Saturday, February 15, 2014

NEW MOVIE : GUMZO


UNAAMBIWA...
Tamaa mbele Mauti Nyuma ,si kila kiingiacho ni Dhahabu zaweza kuwa kokoto . Hii ni ndani ya GUMZO ,fuatilia Kisa hichi.
   GUMZO ,ni filamu mpya ya kibongo inayotarajia kutoka hivi karibuni mnamo Tar 27,Feb ya mwaka huu...iliyo na vionjo vingi kutoka kwa produza wetu wa Filamu kali kama Pusi na Paku ,SALMA JABU NISHA ,wa Salma Nisha's Film Production.
  Filamu hii imeshirikisha wasanii wakubwa kutoka bongo muviz kama KING majuto ,Wastara ,PHD hemed , na anayesemekana mdada Mfupi kushinda woote TeeZee ,Tausi...sasa kama unambavu za Chuma USIKOSE KIONJO HiiKIIII tar 27/02...!!
Kwa Kutaka KUFAHAMU mengi kuhusu FILAMU hii BONYEZA HAPA>>GUMZO 

Saturday, February 8, 2014

NEW MOVIE : NISHA ANAKUJA NA FILAMU MPYA YA GUMZO!

   Kutoka NISHA'S FILM PRODUCTION, inayosimamiwa na mwanadada NISHA a.k.a Nisha beebe, wanakuletea Film yao mpya inayoeenda kwa jina GUMZO.

Nisha ,akiwa kama C.E.O wa hiyo Production ameshirikiana na baadhi ya mastaa wakubwa kutoka BONGO Movies ,kama Hemed Suleiman (PHD -Hemed), Mkali wa Komed hapa bongo ,King Majuto, Wastara sajuki , Tausi..n.k ili kuweza kuleta burudani isiyo na kifani kwenye BONGO MOVIES...!!
sasa GUMZO iko jikoni , na inategemea kutoka mwezi huu Februari ndugu msomi wa nakala hii kaa MKAO WA KULA bila ya KUIKOSA movie hii mpya KALIII..!!

TAZAMA PICHA ZA NISHA KUHUSIANA NA MOVIE YA GUMZO...

Hii ndio INTERVIEW ya kwanza ya Nisha kuhusu GUMZO - MOVIE

Endelea Kutazama Picha Hapa Chini...


Hizi ndio CAPTURED SCENES za GUMZO......HAHAHA!! PATAMU HAPA!!


Hii ndio baadhi ya CAST ya GUMZO
Hemed Suleima(PHD-hemedy) 
KING MAJUTO


Wastara Sajuki
 Pamoja na C.E.O mwenyewe NISHA BEEBE!!

Source : Nisha Facebook page
              google search