Thursday, February 6, 2014

NEWS : HUYU NDIO TOTO YA JUSTIN BIEBER KWA SASA

   Kwa jina kamili toto hii inaitwa Chantel Jeffries mwenye miaka 21, mzawa wa North Calorina ,kazi yake ni U-model . 
Katika siku za karibuni kumetokea fununu zaidi kuhusu Justin Bieber anakimwana kipya baada ya Kupost picha ya Toto hii asubuhi ya Alhamis moja na kuleta gumzo kwa Followers wa JB ,na baada ya saa picha ikaondolewa ,baada ya tukio hilo kumekuwa na habari tofauti kuhusu wawili hawa kwamba ,hii toto ndio kimwana kipya cha Star wa POP na R&B music Justin bieber.
Chantel na Jb wamezidi kuonekana sehem tofauti wakila bhata tena pale baada  ya KWENDA VACCAY PANAMA.

    Sasa Ndugu mpenzi wa blog hii unaweza we mwenyewe Kudhihirisha kwamba ,Je Jb anapiga Hii toto au La hasha!..kama Wanavyosema wao wenyewe kwamba ni Marafiki tu lakini ,we ndio wakujudge hii kitu si mii ,bali nakupa habarii tu! :)

TAZAMA PICHA ZA CHANTEL HAPA UPAGAWE....:))

Hii picha hapo juu ndio ambayo aliyopost Justin Bieber kwenye Ukurasa wake wa instagram.

Facial PiCX!!!..


BIKINIIIZZ...!!!
Otherz..!!Source : Instagram
                www.google.com