Showing posts with label Lady Gaga. Show all posts
Showing posts with label Lady Gaga. Show all posts
Saturday, March 29, 2014
Saturday, February 22, 2014
LIFESTYLE : LADY GAGA'S CRIBz
Kwa jina kamili huyu mrembo hapo ni Stefan Joanne Angelina Germanotta, au tunavomjua kikazi zaidi ni Lady Gaga ,ni mmoja kati ya mastaa wa music wa POP wakubwa marekani ambae amekuwa influenced katika kipaji hicho na Legend wa muziki kama The beatles, Stevie wonder ,Elton John, Bruce Springsteen na wengine wengi.
Mwaka 2011 aliuza Kopi 1,108,000 baada ya kutoa album yake ya tatu yenye kibao cha 'Born this way' wiki ya kwanza ya mauzo ya Album. Msanii huyu pia anafahamika kuvaa mavazi ambayo ni tofauti (Unique)....
Kufatiwa na mafanikio yoote haya ya Lady gaga mpaka sasa ,ndugu msomaji unaweza ukajiuliza je anaishi wapi au analala wapi...
Nakala hii unakuletea laivu Makazi ya Lady gaga ambayo anayomiliki mwanamuziki huyu..endelea kufahamu....
Tazama Cribz za LADY GAGA ambazo anazomiliki...
CALIFORNIA HOME
NEW YORK CRIB
Source: bornrich.com
Monday, February 3, 2014
PICZ : LADY GAGA'S MOST SHOCKING OUTFITS
Kwa jina kamili ni Stafani Joanne Angelina Germanotta AkA Lady Gaga.Ni moja katika mastaa wakubwa wa Muziki wa POP. Kitu kimoja cha kushangaza kwa Star huyu ni mavazi yake anayotupia akiwa kwenye show au awards...
leo blogu hii inakupa ufahamu kati ya moja ya mavazi ambayo Lady Gaga ameshawahi kuvaa...ili ujue Styles zake jinsi zinavyotisha na zingine zinafurahisha...
Tazama Picha 24 za Lady Gaga chini...
Sunday, January 5, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)
































