Showing posts with label Celeb-Lifestyles. Show all posts
Showing posts with label Celeb-Lifestyles. Show all posts

Saturday, March 22, 2014

XXclusiv DAVIDO's CARS COLLECTION

Kijana ambaye ni mkali wa muziki wa AFRICAN POP ,akiitwa kama DAVIDO ...
Kijana huyu ametoka katika familia kitajili ya bwana  Adedeji(Soma BIO ya davido hapa Bonyeza hapa)... ambaye anatamba na kibao kama AYE, GOBE na vengine kibao ...

Lakini si kwamba yeye kazaliwa kwenye familia ya Kifedha basi afanye kuachana na kazi ya usanii, ni moja katika njia anazopatia mkwanja na mkwanja huu ndio hivi anavoutumia...

Tazama list ya mikoko anayotambaa nayo Davido...hapa chini...


TAZAMA LIST YA MAGARI YA DAVIDO

12M NAIRE AUDI Q7 

Mnyama akiwa amepozi kwenye mkoko wake wa million 12'naire
(Endelea kutazama mikoko mengine HAPA CHINI...)
Mercedes Benz G55 AMG



RED 2012 Hyundai Sonata
Davido alishinda mkoko katika tuzo za Next Rated Artist 2012
Mnyama akiwa kwenye mkoko baada ya kushinda


Silver 2012 Honda


17 million Naira Chevrolet Camaro.

BONYEZA HAPA ILI UFAHAMU NDINGA ZA MASTAA WENGINE KAMA THE GAME, PARIS HILTON NA WENGINE KIBAOO...CLICK=> CARS

Saturday, February 22, 2014

LIFESTYLE : LADY GAGA'S CRIBz

   Kwa jina kamili huyu mrembo hapo ni Stefan Joanne Angelina Germanotta, au tunavomjua kikazi zaidi ni Lady Gaga ,ni mmoja kati ya mastaa wa music wa POP wakubwa marekani ambae amekuwa influenced katika kipaji hicho na Legend wa muziki kama The beatles, Stevie wonder ,Elton John, Bruce Springsteen na wengine wengi.
Mwaka 2011 aliuza Kopi 1,108,000 baada ya kutoa album yake ya tatu yenye kibao cha  'Born this way' wiki ya kwanza ya mauzo ya Album. Msanii huyu pia anafahamika kuvaa mavazi ambayo ni tofauti (Unique)....
Kufatiwa na mafanikio yoote haya ya Lady gaga mpaka sasa ,ndugu msomaji unaweza ukajiuliza je anaishi wapi au analala wapi...
Nakala hii unakuletea laivu Makazi ya Lady gaga ambayo anayomiliki mwanamuziki huyu..endelea kufahamu....

Tazama Cribz za LADY GAGA ambazo anazomiliki...

CALIFORNIA HOME
(endelea kufahamu zaidi hapa chini...)






NEW YORK CRIB
Source: bornrich.com


Tuesday, February 18, 2014

LIFESTYLE : KIM KARDASHIAN CARS COLLECTION

  Kwa Jina kamili huyu Mrembo hapa ni KIMBERLY NOEL KARDASHIAN, ni mmoja kati ya Stars nchini marekani mwenye wadhfa mkubwa anayejishughulisha kama Mfanyabishara, Mwanajamii ,Muigizaji, TV reality star,Model, Entrepreneur...
Kijana huyu ustar wake unaibuka juu zaidi katika Family reality show, inayoitwa Keepin' Up with the Kardashians  ambayo ianarushwa na TV inayoitwa E! , na mwanadada huyu anajipatia mshikoo kibwena katika kazi hiyo ...sasa hivi ni moja kati ya matumizi anayoyafanya mdada huyu katika mshiko anaoupata...Tazama Ndinga anazomiliki Kim Kardashian...


Tazama MIKOKO 10 ya BEI MKASI ya KIM KARDASHIAN

Kim's Black Rolls Royce Ghost($265,000)


(Endelea kutazama hapa chinii..) 

Kim's Mercedes-Benz G63 ($150,000)




Kim's Porsche Panamera($100,000)


Kim's Ferrari 458 Italia($325,000)


Kim's White Rolls Royce Ghost($250,000)


Kim's Blacked-Out Bentley Continental GTC()



Kim's Black Range Rover(£140,000)

Kim's White Range Rover

Lamborghini Aventador Bought for Kanye west($750,000)


2010 Maserati GranTurismo Convertible($136000)


Source : http://www.bornrich.com
               : www.celebritycarsblog.com

 


 

 




 


Monday, February 10, 2014

CELEB - LIFESTYLE : THE GAME's CAR COLLECTION

  Hujacheza mchezo wowote 'Game' kama bado hujapitia safari ya maisha ambayo huyu rapper amepitia. The game ni rapper, pia hiphop produza ,amezaliwa huko California L.A. akiwa kama mmoja wa vijana waliotolea kimuziki na Dr.Dre ,the Game pia ameanza Muziki 2002,na kufanikiwa kutoa Album yake ya kwanza 2005.
Hivi ndio anavotumia matunda ya kazi yake,,,,Tazama mikoko anayomiliki THe GAME ,,ili kijana mwenzangu upate mwamko wa maisha yako..!!

Tazama MIKOKO anayomiliki THE GAME hapa chini...

Porsche Panamera

Fisker Karma

Kati ya magari ya Kifahari ni hii moja Fisker karma, pia inamilikiwa na Justin bieber
Bonyeza hapa >> kujua List ya Mikoko ya Justin Bieber 


Dogde Challenger


Bugatti Veyron



Bentley GT


Chevrolet Camaro


Leather wrapped Ferrari



source : www.celebritycarsblog.com










Monday, February 3, 2014

PICZ : LADY GAGA'S MOST SHOCKING OUTFITS

   Kwa jina kamili ni Stafani Joanne Angelina Germanotta AkA Lady Gaga.
 Ni moja katika mastaa wakubwa wa  Muziki wa POP. Kitu kimoja cha kushangaza kwa Star huyu ni mavazi yake anayotupia akiwa kwenye show au awards...
leo blogu hii inakupa ufahamu kati ya moja ya mavazi ambayo Lady Gaga ameshawahi kuvaa...ili ujue Styles zake  jinsi zinavyotisha na zingine zinafurahisha...










Tazama Picha 24 za Lady Gaga chini...