Saturday, March 22, 2014

XXclusiv DAVIDO's CARS COLLECTION

Kijana ambaye ni mkali wa muziki wa AFRICAN POP ,akiitwa kama DAVIDO ...
Kijana huyu ametoka katika familia kitajili ya bwana  Adedeji(Soma BIO ya davido hapa Bonyeza hapa)... ambaye anatamba na kibao kama AYE, GOBE na vengine kibao ...

Lakini si kwamba yeye kazaliwa kwenye familia ya Kifedha basi afanye kuachana na kazi ya usanii, ni moja katika njia anazopatia mkwanja na mkwanja huu ndio hivi anavoutumia...

Tazama list ya mikoko anayotambaa nayo Davido...hapa chini...


TAZAMA LIST YA MAGARI YA DAVIDO

12M NAIRE AUDI Q7 

Mnyama akiwa amepozi kwenye mkoko wake wa million 12'naire
(Endelea kutazama mikoko mengine HAPA CHINI...)
Mercedes Benz G55 AMGRED 2012 Hyundai Sonata
Davido alishinda mkoko katika tuzo za Next Rated Artist 2012
Mnyama akiwa kwenye mkoko baada ya kushinda


Silver 2012 Honda


17 million Naira Chevrolet Camaro.

BONYEZA HAPA ILI UFAHAMU NDINGA ZA MASTAA WENGINE KAMA THE GAME, PARIS HILTON NA WENGINE KIBAOO...CLICK=> CARS