Thursday, March 27, 2014

HOOT NEWS| WIVU : KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN ,BLOWOUT FIGHT OVER CHRIS BROWN

   Kanye west sasa aona wivu wa maoenzi kwa mchumba wake Kim sababu ya kuwa na mahusiano na Chris brown ambaye sasa yuko jela kwa mda wa mwezi mmoja .

Mtandao wa habari za wasanii wa marekani HollywoodLife umeeleza kuwa Kanye akatamka kuwa anaweza kuhairisha ndoa yao...
Imeelezwa tena kanye amemkataza kuwa na mawasiliano na Chris baada ya kuona Chris na kim wakiangalia kimahaba walivyokuwa wakiongea kuhusu biashara .

Mtandao tena umeeleza kuwa Kanye hampendi Chris kwa sababu zifuatazo :
- kitendo cha chris-2009 kumpiga Rihanna .
-Chris ni mtu ambaye anaharibu sheria .
kwahiyo kanye anaamini kuwa wadhfa wake ni kila kitu kwake kwahiyo hataki Brown amuharibie