Sunday, March 16, 2014

OMAR BORKAN AL GALA

'ONE OF THE MOST HANDSOME MAN IN THE WORLD'
     Kwa jina kamili ni Omar Borkan al gala, kuzaliwa ni tarehe 23-sept,1990, huko Dubai (U.A.E) kazi yake  ni Modelling, fashion (photographer), Actor , Mtuzi wa mashairi na kwa pia Mfanyabiashara... kwa sasa makazi yake ni Vancouver ,Canada .
Maisha yake ya ustaa yalianza pale ambapo alivyokwenda Vancouver kuendeleza masomo yake ya ku-act na umodel...sababu kijana huyu ana uzuri wa sura yake picha zake zikaanza kuenea katika mitandao na hapo ndio jina likanza kuvuma

VITUKO KWA JAMII KUTOKANA NA U-HANDSOM WAKE
Mwaka jana kwenye birthday yake imeelezwa kwamba alizawadiwa gari ambalo ni Mercedes G55, kutoka kwa mwanamke ambaye hamfahamu wala hamjui ,yeye aliambiwa asign na achukue mkoko na wala bila ya malipo yeyote...hapohapo vyanzo vya habari hii vimeeleza kuwa mkoko huu unaghalimu Euro-£70,000

Kituko chengine ambacho kilishangaza kabisa duniani ni kwamba pale alipofukuzwa Saudia kwenye tamasha la kidini ya Kiislamu kwa kuwa yeye ni mzuri saana na wasichana watakaokuwepo wanaweza kuingiliwa na matamanio na kijana huo. Mwaka jana mwezi wa 4 kulikuwa na Tamasha la kidini huko  Saudi Arabia ambapo viajana watatu mmoja wapo ni Omar Al gala alifukuzwa kwa ajili ya kuwa mzuri saana(Too mush Handsome)

Tazama Picha za OMAR BORKAN AL GALA hapa chini... source : www.dailymail.co.uk
             omarborkanalgala.blogspot.com
             google.com