Friday, March 21, 2014

XCLUSIVE HOOOT NEWS : CHRIS BROWN IN JAIL FOR 1 MONTH


  Sasa CHRIS BROWN amerudishwa tena kifungoni  kwa mda wa mwezi mmoja mpaka 23/04 ambapo kutakuwa na masikilizo ya kesi yake tena...
mama wa Chris akiwa na wakili wa chris
Judge alieleza kuwa Chris hana uwezo wa kuacha matatizo " inability to stay out of trouble " baada ya kutamka katika maongezi huko alivokuwa rehab kwamba yeye ni mzoefu wakutumia bunduki na visu " I am good at using guns and knives "

   Kwahiyo mnyama atabakiwa kwenye banda mpaka tarehe 23 mwezi wa 4 ambako inasemekana kuwa kama ataonekana na makosa zaidi inaweza kuwa kesi kubwa na kufungwa zaidi ya miaka 4.

   Habari hii imetolewa na TMZ ambapo Chris brown alikamatwa Ijumaa ya wiki iliyopita baada ya kufukuzwa Rehab kwa utovu wa nidhamu wake na kutofata masharti 3 ' violation 3 internal rules ' ambako moja kubwa inayozingatiwa kwake ni kukaa futi si chini ya 2 kutoka kwa mwanamke  ' STAY AT LEAST 2 FEETS FROM A WOMAN  ' na hii ilitokana na kesi ya kumpiga Rihanna . (Endelea kusoma habari hapa chini)


     Star huyo alionekana na wasimamizi wa Rehab akimshika mwanamke kiwiko na mikono ya mwanamke...ambako hiyo ilikuwa ni kuvunja sheria ...

    Jambo lingine Chris alivorusiwa kutoka huko rehab aliambiwa apeleke majibu ya vipimo vya utumizi wa madawa ya kulevya lakini akakataa na baadaye akakubali na kupatiwa vipimo na kuonekana kwamba ni Negative .
 Na la mwisho ni vile alivotamka kwamba yeye ni mzoefu wakutumia bunduki na visu " I am good at using guns and knives "
"kwahiyo hii ni fundisho kwa vijana woote wenye jeuri ya kifedha wa wadhfa wao...hata kama wako hivo lakin wanatakiwa wafate na waheshimu sheria za nchi yao---obey all rules"
Tazama video hii kufahamu zaidi jambo hili...

Sources : TMZ , HLN