Showing posts with label Cribs. Show all posts
Showing posts with label Cribs. Show all posts

Saturday, February 22, 2014

LIFESTYLE : LADY GAGA'S CRIBz

   Kwa jina kamili huyu mrembo hapo ni Stefan Joanne Angelina Germanotta, au tunavomjua kikazi zaidi ni Lady Gaga ,ni mmoja kati ya mastaa wa music wa POP wakubwa marekani ambae amekuwa influenced katika kipaji hicho na Legend wa muziki kama The beatles, Stevie wonder ,Elton John, Bruce Springsteen na wengine wengi.
Mwaka 2011 aliuza Kopi 1,108,000 baada ya kutoa album yake ya tatu yenye kibao cha  'Born this way' wiki ya kwanza ya mauzo ya Album. Msanii huyu pia anafahamika kuvaa mavazi ambayo ni tofauti (Unique)....
Kufatiwa na mafanikio yoote haya ya Lady gaga mpaka sasa ,ndugu msomaji unaweza ukajiuliza je anaishi wapi au analala wapi...
Nakala hii unakuletea laivu Makazi ya Lady gaga ambayo anayomiliki mwanamuziki huyu..endelea kufahamu....

Tazama Cribz za LADY GAGA ambazo anazomiliki...

CALIFORNIA HOME
(endelea kufahamu zaidi hapa chini...)






NEW YORK CRIB
Source: bornrich.com


Saturday, February 1, 2014

LIFESTYLE : XCLUSIV RIHANNA'S CRIBS

   Si kitu chingine kitamfanya binaadamu wasasa awe na jeuri bali ni PESA ,na hichi kitu watu wengi wana namna tofauti za kuzitafuta na kuzitumia ,unaemuona hapo kushoto kwako ni produza ,singer ,writer na pia choreographer kutoka jamii ya wanaobama ,ROBYN RIHANNA FENTY(kuzaliwa Feb,20-1988) au kwa jina la usanii ni Rihanna. Msanii huyu mzawa wa Barbados anaetamba na Album yake mpya ya Unpologetic ni mmoja kati ya Mastaa wakubwa nchini humo na anauwezo mkubwa wa kifedha, imesemwa kwenye mtandao wa Celebritynetworth kwamba mtoto huyu analipwa 800,000 per show, DuuH! ni balaa lakini tuendelee...
Inakuwaje mtu una Fedha nyngi na unasehemu duni ya kuishi ,sasa rihanna anakataa kabisa sentensi hiyo kwa kununua CRIBS matata na zenye pay ndefu na kujipumzisha na Familia yake...
   Picha Zifutazo ni MIJENGO anayomiliki mwanandada huyu .Tazama watu wanavoishi na ujiulize au unukuu kama alivyonukuu rafiki yangu ANKO .T,,kwamba WABONGO TUNAISHI AU TUNA-SURVIVE..??!.

CRIB YA RIHANNA HUKO PASIFIC PALISADES.

(COST $12M)

    Vilivyomo kwnye huu ambao ni 11,000sq ft kujengwa  2010, 7-bedrooms, 9 bathrooms, showroom ,quality kitchen ,formal living & dining rooms, media &game room,spa ,pool, slick outdoor bar,bbq na 4-car garage. Kilichonishangaza ni kwamba huu ni mjengo una 6000sq ft.flat glassy backyard. ENDELEA KUTIZAMA PICHA NYUMBA ZINGINE HAPA CHINI...


Hii ndio Front View!



Hapa ni ndani.




JIKO.

OUTSIDE.



BARBADOS BEACHSIDE CRIB (COST $22M) .

  Hapa Rihanna aliamua ang'ae kwao kwa kununua mjengo huu huko barbados uliomdamage $22Million Dollars,,Duuh!..kuhusu  huu mjengo ambao  ni 10,000sq ft ambao ulikuwa unapigwa mnada kwa $21.8M ambao pia ni ulikuwa 5 star sandy lane Hotel, mdada aliununua badala ya kupanga na mama yake mazazi mwaka 2012.







Sources:www.dailymail.co.uk 
              www.celebritycribs.info
              www.celebritynetworth.com