Saturday, February 1, 2014

LIFESTYLE : XCLUSIV RIHANNA'S CRIBS

   Si kitu chingine kitamfanya binaadamu wasasa awe na jeuri bali ni PESA ,na hichi kitu watu wengi wana namna tofauti za kuzitafuta na kuzitumia ,unaemuona hapo kushoto kwako ni produza ,singer ,writer na pia choreographer kutoka jamii ya wanaobama ,ROBYN RIHANNA FENTY(kuzaliwa Feb,20-1988) au kwa jina la usanii ni Rihanna. Msanii huyu mzawa wa Barbados anaetamba na Album yake mpya ya Unpologetic ni mmoja kati ya Mastaa wakubwa nchini humo na anauwezo mkubwa wa kifedha, imesemwa kwenye mtandao wa Celebritynetworth kwamba mtoto huyu analipwa 800,000 per show, DuuH! ni balaa lakini tuendelee...
Inakuwaje mtu una Fedha nyngi na unasehemu duni ya kuishi ,sasa rihanna anakataa kabisa sentensi hiyo kwa kununua CRIBS matata na zenye pay ndefu na kujipumzisha na Familia yake...
   Picha Zifutazo ni MIJENGO anayomiliki mwanandada huyu .Tazama watu wanavoishi na ujiulize au unukuu kama alivyonukuu rafiki yangu ANKO .T,,kwamba WABONGO TUNAISHI AU TUNA-SURVIVE..??!.

CRIB YA RIHANNA HUKO PASIFIC PALISADES.

(COST $12M)

    Vilivyomo kwnye huu ambao ni 11,000sq ft kujengwa  2010, 7-bedrooms, 9 bathrooms, showroom ,quality kitchen ,formal living & dining rooms, media &game room,spa ,pool, slick outdoor bar,bbq na 4-car garage. Kilichonishangaza ni kwamba huu ni mjengo una 6000sq ft.flat glassy backyard. ENDELEA KUTIZAMA PICHA NYUMBA ZINGINE HAPA CHINI...


Hii ndio Front View!Hapa ni ndani.
JIKO.

OUTSIDE.BARBADOS BEACHSIDE CRIB (COST $22M) .

  Hapa Rihanna aliamua ang'ae kwao kwa kununua mjengo huu huko barbados uliomdamage $22Million Dollars,,Duuh!..kuhusu  huu mjengo ambao  ni 10,000sq ft ambao ulikuwa unapigwa mnada kwa $21.8M ambao pia ni ulikuwa 5 star sandy lane Hotel, mdada aliununua badala ya kupanga na mama yake mazazi mwaka 2012.Sources:www.dailymail.co.uk 
              www.celebritycribs.info
              www.celebritynetworth.com