Saturday, November 2, 2013

LYRICS: Diamond platinumz- MY NUMBER 1

Verse 1:

    Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani...
    Pili tumetoka mbali, matatizo changamoto
tu visa visa fulani...
   Ohh! tatu kidonda chako kwangu maradhi
Mama tu usononekapo kwangu simanzi..
    Kwa mahaba uliyonipa nimenogewa
ni vurugu patashika punguza kidogo..
    Na mengine kadharika toto si unanielewa?
Hapo hapo uliposhika...ukiongeza kidogo mi mwenzako ntaumiaChorus:

Your my number one - my sweety sweety
Number one - my baby ooh oh
Your my umber one...oooh my darling
Number one - roho yangu mama x2

Verse 2:

Na nna wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua
So Usije kunilaghai nikaja kuzama ukanizingua x2
Now show me how they do..
Ngololo x6