Friday, November 15, 2013

EMBRESS: IJUMAA KARIM TO ALL MUSLIMS

ALLAH AKBAR!
"My the name of ALLAH be praised and embrassed by all muslims in the world."
 Hawa ndio baadhi ya MACELEB wakubwa duniani ambao wameamini matamko ya ALLAH S.W kupitia mtume wake MUHAMMAD S.A.W, na kuamua kufata QUR'AN, kwa kubadilisha Dini zao na kuingia kwenye Dini ya KIISLAM.
TAZAMA PICHA ,pia kuna Video inayoonyesha maceleb kama BUSTER RYMES , ICE CUBE, mastaa wa mpira wa miguu kama ROBIN VAN PERSIE na FRANK RIBERY 'BILAL', n.k,, wakiongea kuhusu kuwa waislam. 
Janet Jackson ,ambaye ni dada wa marehem MICHAEL JACKSON


Looney ,ambaye ni mmoja kati wa wasanii wa kundi la bad boys ,linaloongozwa na Sean john a.k.a Dirty money

Tazama video hapa chini inayoonyesha baadhi ya maceleb waliobadili dini wakawa  waislam...