Monday, November 4, 2013

EVENT: HAPPY BIRTHDAY SEAN COMBS A.K.A P.DIDDY

  Siku ya leo ni siku ya kuzaliwa Msanii mkubwa wa miondoko ya RAP/HipHop nchi marekani ,Sean combs a.k.a P .diddy /dirty money.
  Msanii huyu ambaye kwa sasa ndio 'HIOPHOP CASH KING-2013' kutoka  kwenye list za FORBES, ambaye ndio mmiliki wa record company kubwa ya 'DIRTY MONEY' ,amezaliwa kitongoji cha Harlem mjini  New york ,4/11/1969, siku ya leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ,pia anatimiza miaka 44.
 Kutoka kwa Blogger ,C.E.O tunamtakia maisha marefu anaendelea kuongoza kweye biashara ya mziki ,na mungu ampe maisha marefu...AMEN!!
For More about sean combs CLICK HERE..