NEWS : JUSTIN BIEBER AVAMIA JIRANI ZAKE KWA KURUSHA MAYAI
Asubuhi ya Tarehe 1/1/2014,Alhamisi saa 12:30, Star Justin Bieber alionekana akirusha mayai(Egg Attack) kwenye nyumba ya jirani yake. Mtandao mkubwa wa habari ,TMZ kutoka huko U.S.A waliipata video hii iliyochukuliwa na Jirani huyo.
Video hii haionekani vizuri lakini unaweza kusikia maneno ya matusi ambayo Justin alikuwa akirushiana na jirani huyo. Tazama video hapa chini.
Sasa imekadiliwa kwamba uharibifu alioufanya Justin Bieber katika balaa hilo umemghalimu dola za limarekani 200,000 ni zaidi ya milion mia 3 za kibongo, na pia TMZ inaeleza kwamba kijana huyo hajaomba msamaha kwa jirani hao.
Tazama picha zinazoonesha uharibifu wa JB .