Thursday, January 30, 2014

PIC OF THE DAY : THE BOOTYLICIOUS ,MISS JEEZEY, BEYONCE KNOWLES

   Hivi ndivo alikuwa ameupara The QUEEN OF R&B MUSIC kwenye usiku wa TUZO ZA GRAMMY-2014, miss BEYONCE KNOWLES, ndani ya kiwalo cha Designer MICHAEL COSTELLO...it'x All about FASHION.