PICX : THE BEST OUTFIT IN THE GRAMMY AWARDS -2014 by Vogue
Kwenye Tamasha la Tuzo za Grammy-2014 lililozofanyika huko mjini LA ,california katika kiwanja cha Staples. Katika tamasha hilo Maceleb wengi walijitahidi kutupia lakini kati ya hao waliotupia kuna baadhi walitupia vikali zaidi ya wenzao, wafuatao ni mastaa wakubwa na ndio waliotupia zaidi kuliko wenzao kutoka mtandao wa VOGUE...