Wednesday, January 29, 2014

FASHION : TAZAMA MAVAZI MANNE TOFAUTI YA MWANADADA KATY PERRY KWENYE GRAMMY AWARDS 2014

  Inaonesha kama mwanadada huyu hajiamini na anachokivaa au ndio mambo ya Fashion kutaka kuonyesha jamii kupitia media.
  Huyu ndio Msanii wa miondoko ya POP , Katy Perry alivooneka Jpili ya 26/01 ,kwenye Tuzo za GRAMMY mwaka 2014  akibadilisha mavazi manne tofauti katika shughuli mbalimbali za usiku huo wa Jpili.
 Tazama Picha hapa chini zinazoonesha Mavazi manne Tofauti aliyobadili katy Perry.







1. SHEER VALENTINO 'Musical Dress' 

  Hii ni baadhi ya nguo zilizooneshwa kwenye ya Fashion show mojawapo huko Paris 2014, na hii ilikuwa ni moja ya gauni la designer Valentino. Katy perry aliing'aa wakati anaingia kwenye kumbi na kiwalo hichi cha kutambulisha muziki.
Hapa akiwa na kaka David Hudson

2. Witchery Gown

Sasa  katika pefomance yake akaamua abadilishe na kuvaa gauni la kichawi.

3. Maroon dress.

  Baada ya show yake akaamua abadili na kuvaa kiwalo hichi cha rangi ya maroon, moja ya picha hapo akiwa na Legendary wa music wa POP kutoka kundi la THE BEATLES., Paul McCartney..


4. Party Dress, a blue halter-neck dress.

 Kiwalo cha mwisho kilikuwa hichi  cha rangi blue bahari kikiwa na michirizi ya ki'nyoka. Picha ya hapo kulia akipeana HIGH 5 walikutana katika party na boyfriend wake John mayer.