Ni moja kati ya tuzo kubwa na zenye wadhfa huko katika mamlaka ya bwana Obama ,'THE GRAMMY AWARDS'.Mwaka huu ,2014 '56Th grammy awards' tuzo hizi zilifanyika huko kiwanja cha staples center ,LA california 26-01-2014, iki-hostiwa na msanii wa hip hop Lil Cool J, huku mtandaoni zikirushwa na CBS.
Kati ya wasaani waliokuwa Nominated zaidi ni Jay Z akiwa na nominee 9 huku akifatiwa na justin timbarlake, Macklemore & Ryan leslie, na Pharell Williams hawa wote wakinyakuwa nominee 7 kila mmoja. Daft Punk walinyakuwa Tuzo nne kwenye Nominee zao kati tuzo hizo moja wapo ni Album Of the Year wakishirikiana na Pharell Williams, pia Macklemore & Ryan leslie walinyakuwa nao Tuzo nne mojawapo ni BEST NEW ARTIST ', na kuonyesha support ya ndoa za jinsia moja ya kiume katika perfomance ya nyimbo yao ya 'Same love'.
Tazama video hapa chini inayonesha 'Nominations'