Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto Walinenaga zamani... Pili tumetoka mbali, matatizo changamoto tu visa visa fulani... Ohh! tatu kidonda chako kwangu maradhi Mama tu usononekapo kwangu simanzi.. Kwa mahaba uliyonipa nimenogewa ni vurugu patashika punguza kidogo.. Na mengine kadharika toto si unanielewa? Hapo hapo uliposhika...ukiongeza kidogo mi mwenzako ntaumia
Chorus:
Your my number one - my sweety sweety Number one - my baby ooh oh Your my umber one...oooh my darling Number one - roho yangu mama x2
Verse 2:
Na nna wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua So Usije kunilaghai nikaja kuzama ukanizingua x2 Now show me how they do.. Ngololo x6