ALLAH AKBAR! "My the name of ALLAH be praised and embrassed by all muslims in the world."
Hawa ndio baadhi ya MACELEB wakubwa duniani ambao wameamini matamko ya ALLAH S.W kupitia mtume wake MUHAMMAD S.A.W, na kuamua kufata QUR'AN, kwa kubadilisha Dini zao na kuingia kwenye Dini ya KIISLAM.
TAZAMA PICHA ,pia kuna Video inayoonyesha maceleb kama BUSTER RYMES , ICE CUBE, mastaa wa mpira wa miguu kama ROBIN VAN PERSIE na FRANK RIBERY 'BILAL', n.k,, wakiongea kuhusu kuwa waislam.